Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Kwema kabisa Mkuu. Habari ya majukumu
Nawe pia.....GM wanaselfika majukum mema
Umenikumbusha chakula cha sungura wangu πππ
Kweli umeamka wengine tulijipumzisha tu
[emoji847][emoji847]
Mboga Safi sana..Umenikumbusha chakula cha sungura wangu πππ
Umedamshi hakika umeumbwa ukaumbika uliumbwa siku ya pekee ako
Mashallah
Sofia sofia.....πππ
Na sungura wanapenda sana..Mboga Safi sana..
@_King Tajiri wa watu hzo ni vocha umetuma au nn mbona kwangu hazifunguki Tajiri wangu
Vocha Jumapili jioni, naweka mzigo mzito mshindwe nyie tu.. hata kinyonga atapata mbili au tatu ππππ.. hizo ni christmas Song, si unajua tunaelekea msimu wetu@_King Tajiri wa watu hzo ni vocha umetuma au nn mbona kwangu hazifunguki Tajiri wangu
Vipi mkuuDah..[emoji1533][emoji1534]