spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,136
- 21,879
AweeeLips denda πππ
Umeisha tayariπππ utamaliza mwezi unatambaaaMan usione kimya asubuhi nilitembea na wale wanaosafisha bara bara aisee. Ila ni serious casualties.
Vindevuuu [emoji7]Napita kuwasalimia
View attachment 2263148
Hahaha!! π€£π€£π€π€π€π€π€π€Watu vipenzi vyao
Enhee.....WiFi anakufaidiAweee
financial services nibariki na moja hawa bus driver wanguYou're so handsome mkuu spiderπ
Ndevu izo sio vindevuVindevuuu [emoji7]
Senior bachelor hapaEnhee.....WiFi anakufaidi
Kipindi cha mwamba.. ukweli raha tulikula, unaingia kazini una set mambo unawahi kula bata mwanza .. ila sasa mambo ni jehanamu hela inapatikana kwa mshumaa πππππWazee mlikula nji kipindi kileπ€£
Niitie yule mzungu basi nimsalimie hapa hapa mwenuekitiππHahaha!! π€£π€£π€π€π€π€π€π€
Enhee....Senior bachelor hapa
Daaah, kufuru hiyo[emoji1]Nakumbuka mbali sana, trip zangu za mwanza to Chato mwaka 2019 hadi 2021 nalala mwanza nafanya kazi chato [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji15][emoji15][emoji15]Man usione kimya asubuhi nilitembea na wale wanaosafisha bara bara aisee. Ila ni serious casualties.
Hahaha mkuu unanikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafanyia kazi porini..jioni nawasha gari huyo Karatu au Mbulu.Kipindi cha mwamba.. ukweli raha tulikula, unaingia kazini una set mambo unawahi kula bata mwanza .. ila sasa mambo ni jehanamu hela inapatikana kwa mshumaa πππππ
Ujana tu comrade ππ.. Sasa hivi tunazikumbuka zile helaaDaaah, kufuru hiyo[emoji1]
[emoji23] ndevuNdevu izo sio vindevu
Strawbella Alayna wherayuuuu????! come this way pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!Niitie yule mzungu basi nimsalimie hapa hapa mwenuekiti[emoji23][emoji23]
π π π[emoji23] ndevu
πππ Sema kipindi hiki ramani hazina North wala South.. ukisema unachoma mafuta kila siku.. lazima roho ikuume. Haya mambo ya nyakati zake..Hahaha mkuu unanikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafanyia kazi porini..jioni nawasha gari huyo Karatu au Mbulu.
Na kuna kipindi nilikuwa porini kule Mkuranga ndani ndani jioni narudi Dar.
Lakini wese lilivyopanda hivi mahesabu ni makali sanaa
Namba 9 had leoNikapumzishe fuvu langu wapendwa
Mlale unono!![emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 2263163