Hatari sana kutafuta mali pamoja. Kila mtu atafute zake.Hapo inabidi wote mtoke kwenda kutafuta
Na mtiane moyo kwa pamoja na sio kulalamika tu
Ila sina experience mie naongea tu
Rome wasn't built in a day
Raha ya mwanamke awe na nywele za asili kama hivi hata ukiwa unamshika kichwani inafeel, sio maweaving muda wote mpaka kichwa kinavunda.Good morning.
Tusuke nywele
Kujisuka ni kipaji[emoji119],muda wote nahangaika kupiga mstari.View attachment 2262619View attachment 2262622
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Royal family.Loyal familyView attachment 2262645
..Wenye makomwe tu usiku mwema
Majaribu hayo sasa[emoji23].Ujengewe sanamu Ila akikuachia hyo buku kila siku kwa Muda wa miezi 3 itakuaje
[emoji1]Wenye makomwe tu usiku mwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka maisha tyt tutafanyaje sasaMajaribu hayo sasa[emoji23].
Mimi ni mwanaume mwenzako ila hilo swala la kumpa mtoto wa kike buku kwa miezi mitatu, hata kama ni swala la utafutaji hapana kwakweli, ni bora uwe single tu[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38]Naona Shem kaacha hela ya kusuka Hongera mwanamke nywele mwanamke shepu mwanamke kifuani
Buku hapana aiseeh, hata sahani ya wali maharage ni 1500 sikuhizi.Kaka maisha tyt tutafanyaje sasa
Maweaving kukaa nayo ni kipaji.Raha ya mwanamke awe na nywele za asili kama hivi hata ukiwa unamshika kichwani inafeel, sio maweaving muda wote mpaka kichwa kinavunda.
Naaam jirani.Maweaving kukaa nayo ni kipaji.
Mimi kichwa changu kinawasha sana nikisuka rasta.. nimeamua niwe nasuka za mkono tu ambazo nafumua baada ya muda mfupi then naosha kichwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ukiachana naye nitafute
Sio mbahiri in suchUshawahi date na mbahiri
Aisee...Chuzi limekubali mambo yee mambo waaa
That senior citizens part crack me up....
Ndio hivyo jirani..Wembamba tunastruggle kunenepa.
Wanene wanataka kupungua..dunia hii[emoji16]
Hongera zao wananchi...