Yeeeh ilikuwa testNi test au ?
Faraghani?
Hapana,Faraghani?
Sisi wapenzi wa Mbege mawazo yalishaenda mbali, kuangalia vizuri kumbe UjiπΆπΆ
Hahaha ungetia kilemba chako amazing?Hapana,
Kanisani tu.
Faraghani naendaje na hizi nywele [emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji38]Hahaha ungetia kilemba chako amazing?
[emoji23][emoji23]ni kahawaSisi wapenzi wa Mbege mawazo yalishaenda mbali, kuangalia vizuri kumbe Uji[emoji124][emoji124]
Sawa mpendwa.[emoji38]
Mtaani naonana na wapendwa..
Ila chini nilivaa marinda,, nywele tu imeniharibia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wapendwa wanisamehe tu aiseee..Sawa mpendwa.
Hahaha naomba usimpeleke kabisa. Wewe tu imekushinda, yeye ndiyo atatoka nduki kabisa. Na utamvalisha suruali gani?Wapendwa wanisamehe tu aiseee..
Nitarudi baadaye Mungu akipenda.
Nimpeleke na mdogo wako??
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji2958]
Brod darling uchebeeeeeπ€«
Nimegundua kumbe huu sio mda mzuri kutupiaπBrod darling uchebeeeee
Hahaha ukahisi hakuna watu kabisa? Huwa tunatokea tu muda wa pichaππππππNimegundua kumbe huu sio mda mzuri kutupiaπ
Macho ya Uzee haya shida tupu Mjukuu, mniletee Miwani Kwa kweli π€ͺ
Haha, imebidi niivute uvunguni fasta!!Hahaha ukahisi hakuna watu kabisa? Huwa tunatokea tu muda wa pichaππππππ
Sio fair kabisa ππHaha, imebidi niivute uvunguni fasta!!