ππππππCoca wewe..π€£π€£π€£π€£hivi wajua nasoma huku nacheka maana nakupatia na picha..ππππkhaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha kabisaaa kule ulayaaa.
Bas bhana week zilizopita, kuna rafiki angu m1 alikua na sherehe ya mtoto wa Dada ake kutolewa 40, kule buza kwa mama kibonge, si akanambia twende ukaoone mambo ya kule wapo waliopinda zaidi yako,
Nkamuambia unanijua au unasikia? Kwa kuwa sioneshagi balaa langu unaniona wa wasi wasi sana? Akanijibu we kuna watu kule wamevurugwa, nkasema huyu wacha nijitoe ufahamu nkamuoneshe kuna wakali wa haya mambo na wakali hao ni mie.
Nkaweka kijora changu kwa mkoba hao ndukiiii, kufika kulee niliyoyakutaa sasa nkajiona nipo dunia yangu nkajisemea mambo ndo haya sasa, kikaanza palee kigoma na kigodoro, vidampa walikua wa kushatoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila buzza daaah.
Nkasoma mchezo, nkasema wacha nijilipue, nkabadili nguo, vaa kijora changu, ctaki tabu na mtu, nkazama uwanjan likapigwa singeli la miss buza, akaingia na mdada tushindane, weee nkasema hapa umeyavagaa nakufundisha na vingne ukampage bwana ako kunako 6 kwa 6,
Mambo niliyoyaweka palee, watu hoi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natoka rafiki angu ananambia kumbe wee ni mwehu hivi, nkamuambia kaa kwa kutulia, yule dada akaniomba no yangu nkampa tunawasilian km kawa, rafk angu ananambia yaan wee ukienda buzza mara 2 tunakukosa mazimaaa, woiiiiiiiiih
Kwanza kwa mambo ya buzza, mie ningezaliwa na kukulia kule, nisingesoma hata la 7 nisingefika ningeharibika mapema mnoooo.
Kule ni hatareeeeeeh,. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks dear πBeautiful π piko imechorwa vizuri
Wanne tukuue tupate kesi,,, ni mimi mwenyeweUwapangeee kabisaa, na nguvu wawe nazooo, mtungo 4 funny.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ nimecheka sana mungu wangu kwani kigogo ndio huyuπNaona anatuangalia tu.. sie hatuna baya na wewe πΆπΆπππView attachment 2261460
ππππMdogo angu aibu naona Mimiπ€¦..maana hata sielewi imejukuta tu imekupita kipenzi changu ππDea hii shughuri nimepitwa vipi? Wee mie sitaki lol.
ππππ haki hii hapanaNaona anatuangalia tu.. sie hatuna baya na wewe πΆπΆπππView attachment 2261460
ππππ...official Mrs .....Jimbo limetwaliwa ππ
Naomba niwe chawa wako basi πππ hata niwe nagusa gusa cha shemejiππππ...official Mrs .....
Huyo ndio kigogo mwenyee.. uzuri hatuna baya na shemeji yetu tupo salama.. nimekaa hapa nasubiri selfie yako πππππππ nimecheka sana mungu wangu kwani kigogo ndio huyuπ
Wacha weeeh....Naomba niwe chawa wako basi πππ hata niwe nagusa gusa cha shemeji
uchawa tu jamani hata kugusa nyama nyama za shemeji yetu nimsaidie kukulinda..Wacha weeeh....
Haha.. shemeji yako chawa toshauchawa tu jamani hata kugusa nyama nyama za shemeji yetu nimsaidie kukulinda..
Nimecheka sana walah khaa hapana aisee πππHuyo ndio kigogo mwenyee.. uzuri hatuna baya na shemeji yetu tupo salama.. nimekaa hapa nasubiri selfie yako ππ
mie chawa pro max premium π₯π₯π₯π₯Haha.. shemeji yako chawa tosha
Alicia Keys kweli toka asubuhi nasubiri selfi yako hapo.. si uanyanyasaji huu πππππ hata kidole basi nilaleNimecheka sana walah khaa hapana aisee πππ
Kwanza nna jambo dogo mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca wewe..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi wajua nasoma huku nacheka maana nakupatia na picha..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaa
Acha tuselfike tu haijalishi umeweka nnSelfkia bila filter. Selfika bila snap
Selfika ukiwa natural
Hehehehee..embuuumie chawa pro max premium π₯π₯π₯π₯
T umeiona series ya sherlock HolmesAcha tuselfike tu haijalishi umeweka nn
Kila mtu ni mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka nipate case ya mauaji? Afu rumours itasema Viagra. Kumbe pafomansi.Wanne tukuue tupate kesi,,, ni mimi mwenyewe