Ndo ubaya huu wa kupungua
Mimi nimepungua kidunchu naona hadi kaguu kamerudi kale
Njia nzuri ni mazoezi ili kufanya ili kupunguza ile belly fat
Zoezi hayakukomesha kitambi
burpees
La pili ni crunches
Ona picha kwa chini or you can watch a YouTube video
View attachment 2261077View attachment 2261078