Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Mambo ya ID feki hayo Boss Lady [emoji2099][emoji2099]Hahahaaa..!!
Nafurahi tu kuona kuwa kumbe hata baadhi ya wanaume pia ni ombaomba kama wanavotusema wanawake!!
Nafurahi mnoooo!!
Equation balanced mpunguze kutuchamba sasa!![emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]
AminππPole.
Mungu akuponye.
Karibu sanaAhsante sana kwa kujali rafiki[emoji120][emoji120]
Wanaume tunapaswa kusaidiana...nami hili huwa nalitimiza sana sana miaka mingi humu.Kabisaaaa!! Kwahio kaka mkubwa ikitokea ukaombwa vocha na kijana wa kiume humu unafanyeje wewe kama wewe kaka mkubwa!!π€π€
Huwezi karudisha sababu hyo bonding hakuna anayeweza ivunjaMbwa najua ni marafiki wazuri wa binadamu ila nilishaingia woga. Nawapenda ila nawaogopa.
Kapuppy kadogo dogo sawa ila kakianza kuwa kakubwa nakarudisha [emoji23][emoji23]
Ahsante sana mzungu wetu kwa maombi yakoππUgua pole mkuu
Sina vochaWanaume tunapaswa kusaidiana...nami hili huwa nalitimiza sana sana miaka mingi humu.
2016 kwenye jukwaa flani nilikuws narusha vocha kila siku saa 8 mchana.
So si jipya kwangu.
...endapo niko kwenye nafasi ya kutoa natoa kiroho safi tu....
Ikitumwa tu humu no way sometimes mkizubaa mi mwenyewe napita nayo hahaha!!Nashauri tuachiwe graduates..wa kiume na wakike.
Wenye kazi tafadhali tuachieni graduates hizi vocha..maisha ni magumu.
Mkuu niliona unadodosa masomo yahusuyo mambo yetu ya kule field...wewe ni mdau?
Pole mkuu.Afya haiko sawa chief lkn sasa inaimarika niko salama
Ahsante sanaπ
Basi katakaa kwako nitakua nakuja kukacheki huko huko hahaaHuwezi karudisha sababu hyo bonding hakuna anayeweza ivunja
Field inayotaja taja vitu hivi; mm, cm, m...3D. NkField ipi mkuu ebu nikumbushe?
Hakika hujakosea mkuu ninao huo ujuzi kidogo, japo mimi ni mwalimuPole mkuu.
Nawe ni mtu wa field zetu zile??...mm, cm, m....utanisoma bila shaka
Ubarikiwe sana kwa hilo mkuu!!Tushtue nasie selfika basi unatupia na kukaa pembeni kuenjoy ile Tafrani ya kugombania vocha π€£π€£πππ!!Wanaume tunapaswa kusaidiana...nami hili huwa nalitimiza sana sana miaka mingi humu.
2016 kwenye jukwaa flani nilikuws narusha vocha kila siku saa 8 mchana.
So si jipya kwangu.
...endapo niko kwenye nafasi ya kutoa natoa kiroho safi tu....
Mwalimu????Hakika hujakosea mkuu ninao huo ujuzi kidogo, japo mimi ni mwalimu
Kurusha humu nisiwe muongo labda direct kwa muhitaji.Ubarikiwe sana kwa hilo mkuu!!Tushtue nasie selfika basi unatupia na kukaa pembeni kuenjoy ile Tafrani ya kugombania vocha π€£π€£πππ!!
Hahahahaaaa!!!! Sawa mkuuKurusha humu nisiwe muongo labda direct kwa muhitaji.
Hatua ya kurusha subiria siku ya Idd??[emoji23][emoji23][emoji23]
Wavute subira afya iimarike niingie mzigoni kupambana maana kamtaji kangu kameyumba kidogo kipindi hiki ninachojitibiaKuna njemba humu zinataka eti uziwekee vocha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]