Akili hizo najua.
Hata mambo anayoandikaga hapa JF tu yanaonyesha hivyo.
Na uzuri hilo pia liko wazi...
Selfika nilizoona hapa zinadhihirisha hilo.
Kikwazo sasa ni hizo tumsifu nyingi. Halafu huwa nahisi kama kuna Baba Mchungaji alishatuwahi. Niko sahihi?