The real meaning of a Boss Lady π₯Mlikuwa mnanitesa sana wewe na Saint Anne . Watoto mna miguu nyie.
Siku hizi tumehamia hukuView attachment 2257514
Wengine tulikuwa kula ugali.Pako kimya humu[emoji1787][emoji1787]
Kuna yule anajiita yeye ni mama alizoa hela humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The real meaning of a Boss Lady [emoji91]
Ticha wa kishua [emoji8][emoji8][emoji8]
Mimi na Saint Anne hatukuwahi kukutesa [emoji23][emoji23]
Au niseme hata kifua hakihitaji ma bra ya sponge [emoji85][emoji85]
We ulikuwa pini [emoji108] nyanza zote ulikuwa unatufunika [emoji23]
Hapo pa miguu sijui alishindaga na yule Kapiece..
Mimi na huyo dogo SA tukiwa wakubwa tutakuwa kama wewe [emoji85]
ππππ nipo naelekea kutafuta mawe mgodini nije niwanyooshe vijana wa town
Shukrani sana kwa vocha mkuu !![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nipo naelekea kutafuta mawe mgodini nije niwanyooshe vijana wa town
Vipi leo haujapata hata mojaa?[emoji1787][emoji1787]Watu bize kujaza Vocha madam [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!
π€£π€£π€£π€£π€£ sijui siku hizi yuko wapiKuna yule anajiita yeye ni mama alizoa Hela humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hahahah!! Nimeshapata kitambo Madam!!Vipi leo haujapata hata mojaa?[emoji1787][emoji1787]
Levels nkamu levelsMlikuwa mnanitesa sana wewe na Saint Anne . Watoto mna miguu nyie.
Siku hizi tumehamia hukuView attachment 2257514
[emoji848][emoji848]Natuma
Nilishatuma huko juu check vizuri[emoji848][emoji848]
[emoji2][emoji2]Hahahaha nimecheka mkuu
Ila kipindi cha baridi pumbu huwa zinasinyaa kweli kweli[emoji2]
Nilikuwa natafuta kifurushi Cha kuunga baba Pasta. Mungu akubariki sana mdogo angu, nilikuwa na junia hapa kaniwahia na yeye; jumla tumelamba 25kSandakalawe kwa warembo wetu wazuri wa selfi..pisi kaliView attachment 2257495
Lile guu tuone uvovaa Kwa juu mama mchungaji!!!
Weee unao usitake nirudi kwenye post za nyuma huko ulivyokuwa unanitishia.Mimi na mguu wapi na wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nimemiss enzi zetu,kipindi hicho Selfika ipo moto.
Madame unaupiga mwingi sana[emoji7]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hongera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]