Wauweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!!!Ndio tunachochea moto sasa.
Perfume tayari...haya shouz..naomba notes sasa.
Mrembooooooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hivi Antonnia ni mgeni au mwenyeji humu?[emoji4]Sawa Madam tubariki mchana wetu uwe vizuri!!!
Kmamaeeeee Madam wewe ni hatari nyingine!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaonjeshwa ladha ya maji ya uzima?Atakua kaonjeshwa huyu sio bure!! [emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji12]
Mie Mahondaw lecture!!Hivi Antonnia ni mgeni au mwenyeji humu?[emoji4]
Khaaa bosslady umebadili jina?kumbe nimepitwa sana[emoji1787]Mie Mahondaw lecture!!
Kuna pisi yangu ya miaka nmeiacha kisa ni hio alkua na melanin OG amejiharbu aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangi 3, afu kwann vidole na mikono huwa inakataa mkorogo?
Hapohapo usitoke
Tumoghele[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
AiseeSauvage Og ni moto jamani 😂
Unaweza jikuta unafall hivi hivi
Viganja..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangi 3, afu kwann vidole na mikono huwa inakataa mkorogo?
Nipeni samare nipeni samare nipate pa kuanzia.Wauweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!!!
Jirani hujambo. ...Inanukia harufu tamu.
Mtu akipuliza ni rahisi sana hata kupata watoto wazuri.
Umkute sasa mwanaume ananukia hivyo..aiseee..hata kabla hajakugusa unalainika.
Sijambo shkamoo jirani.Jirani hujambo. ...
Mashallah hakika umejua kutubless. Hio ni definition ya perfect beauty! Kama ni gari basi wewe ni Bugatti! Una haki ya kuringa mrembo. A beauty with class! 😍😍
Sawasawa jirani..Ngoja nikamuongezee baba Junia aisee..
Turahisishe zoezi la kukatafuta kajunia.
Napenda mtu anayenukia..siyo mtu anuke tu kama beberu mwitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee.Kuna pisi yangu ya miaka nmeiacha kisa ni hio alkua na melanin OG amejiharbu aisee