Selfika na JF: Snap it. Show it

Ewaaa!!
Sasa hapa shouz kazi kwako tu kunifundisha mizagamuo.

Perfume tayari tunayo.
 
Jizazi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] That's Anne! Wauweeeehhhhh [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!!
 
Acc yako nani ame hack [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nikipanda daladala kuna namna huwa navutiwa na mtu anayenukia...namuangalia mara mbili mbili.

Siyo kwapa linanuka yaani unakaa unakunja sura jinsi kwapa lake linavyotoa harufu mbaya kama uvundo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…