[emoji3][emoji3][emoji3] inawezekana, code huwa natembea sana na demu mmoja wa kiarabu na tulikuwa tunatumia sana gari ya blue inayo ng'aaa mala chache sana gari nyeupe.. gari blue ilikuwa audi, na nyeupe ilikuwa crown.. viwanja sana vya masaki ndio ilikuwa zetu na ndio zetu bado napo mala moja moja
Kaka vocha nasikia unawatumia viportable vibonge umewatenga [emoji23][emoji23]Kwema kabisa chief
Habari za Bariadi mkuu?
Hii kashifa ni nzitoo hii itakua ni brother _King siyo mimi mkuu🤣🤣🤣Kaka vocha nasikia unawatumia viportable vibonge umewatenga [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka sisi wanaume ndyo umetutenga kbsa upo busy na viportable haya banaHii kashifa ni nzitoo hii itakua ni brother _King siyo mimi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi narusha hapa hapa
Mnatupiana mipira wanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] mie vocha zote nimeweka hapa public hakuna hata vocha moja nimetuma kwa siri mkuu..
Nimeumbwa kwa ajili ya kuteseka Sawa tu lknMadam
Abeeee
hamna mie zote nimeweka hapa na kesho naweka hapa hapa .. hakuna kitu nafanya kwa siri 😀😀Mnatupiana mipira wanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imenichanganya mpaka najikuta naselfiksa kwenye uzi mwingine nikijuwa nipo selfika.Hahahaaaa!! Hivi kumbe sijaifuta uwiiii!!
😂😂😂😂🙉🙉🙉 Leo muone geto langu kesho mtaona sura yangu...Umependeza
😂jmnNimeumbwa kwa ajili ya kuteseka Sawa tu lkn
🤣🤣🤣🤣🤣! Bila shaka ushaifuta haraka! Haya utupie hapa sehemu yake basi!!Imenichanganya mpaka najikuta naselfiksa kwenye uzi mwingine nikijuwa nipo selfika.
Ndio ndioo!!! mambo ya nakeddddddddddddd😜Madam
Abeeee
🤣🤣🤣🤣🤣! Bila shaka ushaifuta haraka! Haya utupie hapa sehemu yake basi!!