Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ngoja kwa Leo tufunge na hii
 
Attachments

  • IMG_20220610_153838_662.JPG
    IMG_20220610_153838_662.JPG
    46.3 KB · Views: 13
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bongezi tunachambwaje humuuuu ussshunguuuuuuh! in _King voice!![emoji23]
Wanatukubali kimoyo moyo sweetheart.
Mimi niliwahi kuwa mwembamba sana ila nikaja kunenepa ghafla.
Tofauti ya nikiwa mwembamba na nikiwa kibonge nimeiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wanapenda vibonge ni vile tu hawana hela.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Weeh kumbe wanajisjaua tu hapa bora umenitia moyo!
 
Back
Top Bottom