Afu ungeweza kupata kabisa, ni vile tu ulishajikatia tamaa. Mimi nyingine nilifanya kubahatisha tu after mtandao kuwa umenizingua, lakini nikakuta haijaingizwa
Jamani ni speed tu. Si unaona Hannah naye kakwangua tatu. Afu imagine vocha 8 zimeenda kwa watu watatu au wanne. So kama ungewahi vocha yako moja ukapambana nayo, ungepata tu