Selfika na JF: Snap it. Show it

Msg nimezi lock hadi muda mwingine nachoka nakwambia
.
Baada ya ku lock msg, mtu hata achukue aende nayo wapi sina hofu.
Yani inawahi kujifunga hiyo , kila saa uingize tu password

Hapo unakuwa hauna wasi wasi kabisa maana sms hizi zinaweza kukumbua hivi hivi

Siwezi kukaa bila kitochi ..nimekuwa addicted navyo vibaya popote unakitoa na kuwa huru .
 
Basi mnaotumia voda niambieni basi kifurushi gani cha 5k maana hapa nateseka kila saa naangalia salio
.
Naona voda washaanza kunitumia msg sijui jiunge na "Simulizi" mara "mlio" yaani vurugu tu .
 
Angalia ya kwako tu kwanza *149*03#
 
Yani inawahi kujifunga hiyo , kila saa uingize tu password

Hapo unakuwa hauna wasi wasi kabisa maana sms hizi zinaweza kukumbua hivi hivi

Siwezi kukaa bila kitochi ..nimekuwa addicted navyo vibaya popote unakitoa na kuwa huru .
Ukitaka isijifunge kama unachati hapo hapo mtu anajibu usiende back. Maana kutoa lock kila saa inatesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…