Selfika na JF: Snap it. Show it


Pole sana madam...

Nimefurahi umerudi kujumuika nasi tena maana nilijiuliza umekumbwa na nini kwakua si kawaida yako kukaa kimya kwa muda mrefu sikupata jibu...

Karibu tena na nikutakie heri katika kazi ya kuwapa vijana wetu


Tunasubiri kwa hamu foto mpya
 
Hello bosiledi, glad to hear from you.

Ni Jana tu tulikuwa tunadiscuss; yaani sasa hivi kama huna mpango wa kubadili ID yako permanently, usibadili tu. Unaweza ukasema ngoja nibadili kwa mwezi huu, then next month ntairudia ID yangu; ukirudi unakuta imeshanyakuliwa. Nimesoma hapo kwamba mahondaw new kabadili tena; kama unaihitaji ID yako ya zamani, irudie mapema then tulia nayo, au kama utastick tu na Antonnia; well and good.
Otherwise pole na hongera kwa majukumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…