Mie sio kaka yako bwanaaa unataka kunibania niniππππSasahivi nipo hapa Selfika kaka vipi na leo kuna sandakalawe???
Ndio mamy jana aliweka sandakalawe mara mbili!! Ndio naulizia hapa nitegeshee nikibahatika nipite nayo juu kwa juunimecheka sandakalaweπ
π π ππ Sawa mkuu utaweka saa ngapi???Mie sio kaka yako bwanaaa unataka kunibania niniππππ
Sandakalawe kama kawaida
Nikiamka mtoto mzuri ππ nita kutag kabisaπ π ππ Sawa mkuu utaweka saa ngapi???
Nilitingwa na majukumu mremboUlipotea tangu Jana asubuhi
Nikiamka mtoto mzuri ππ nita kutag kabisa
OkayNilitingwa na majukumu mrembo
Uko salama lakini?
Usijali mrembo πUnitag kabla hujaweka ili nisipepese macho wenye speed zao wakanitime !!
Halafu nikakosa zote duhNdio mamy jana aliweka sandakalawe mara mbili!! Ndio naulizia hapa nitegeshee nikibahatika nipite nayo juu kwa juu
Nakaa hapahapa hadi uweke!!Usijali mrembo π
Yani relax ntakustua mimi nipo hapahapa!Halafu nikakosa zote duh
Leo sikubaliπ
Unishtue shouz
Kuna watu wako online hapa usifanye mchezo
Wanapita juu kwa jui
Mambo sasa ni fire .. Santeee sana Alicia Keys wacha niamke sasa nikatafute ridhiki.. fanya kinipitia twende masjid basiView attachment 2255968
Ijumaa mubarack guys π€
Byurifuuu [emoji7]View attachment 2255968
Ijumaa mubarack guys π€
ππnataka niweke notification kabla wizooo Heaven Sent hajapitaUsijali mrembo π
View attachment 2255968
Ijumaa mubarack guys π€
Kwani bado mkuuNakuzoom tu hapa
Mbona umeficha hizo tangawizi..?KENZY tangawizi njoo uone π€£π€£View attachment 2255966
Hapa naamka saa nne, naingia bafuni nachezea maji hadi saa nne na 15, alafu natoka ndani saa tano naingia voda shop , kuanzia saa tano na robo mambo yataanza kuwa motoππnataka niweke notification kabla wizooo Heaven Sent hajapita
Na Christine1 tunakusubiri utubles na sandakalawe bossMambo sasa ni fire .. Santeee sana Alicia Keys wacha niamke sasa nikatafute ridhiki.. fanya kinipitia twende masjid basi
Ratiba ya kibabe sana hiiHapa naamka saa nne, naingia bafuni nachezea maji hadi saa nne na 15, alafu natoka ndani saa tano naingia voda shop saa tano, kuanzia saa tano na roho mambo yataanza kuwa moto