Selfika na JF: Snap it. Show it

Fanya kama huoni vile

Anyway nilitaka kusema sio kila anachopenda kufanyiwa mwanamke A na B atapenda
Ss kutomwambia mwanaume wako unachopenda unamfanya atumie uzoefu wa alikotoka au ile general ......na matokeo yake utaona hajui au hawezi kukufikisha
Mfano πŸ™ˆπŸ™„πŸ˜Ž
Wengine hawapendi kupigwa deki,na wapo wanaume hawapendi hiyo pia.....halafu inakuwa balaa ,km 1 anapenda mwingine hupendi hivyo inabidi umwambie mbadala wake....
Hasa we mtu aanze kuhangaika kutafuta na hupendi ya nn
Bora kusema tu mapema....
Wengine zile deep kiss hawapendi pia bora kusema ......mmh mengine nashindwa kusema
 
Umeeleweka kabisa. Na mada iishie hapa turudi kwenye msingi wa uzi.
 
Changamoto sana. Kuna wale wasiojua kukiss jaman mtu anatafuna lips kama anatafuna nyama ukitoka hapo mdomo umevimba
Duh nimecheka kwa nguvuuuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Basi km hajui apige dekiii
Uzuri tuna maeneo mengiπŸ˜ŽπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…