Tumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.
Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.
JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.
Acheni ushamba