Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,760
Pleated skirt on fleek[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kotee nipooo
Ila Njombe sio kwa baridi lile jamani [emoji17][emoji17]Duuuh 16 hatari. Nilikua Njombe last week aisee yale Mateso.
I'm here.........Hapo chini Nina kiatu cha blue ss
Ngoja nikutafutie niliyosimama[emoji23]
Imenipita mkuu, irudiweWapi?
Hapa si mkwawa mkuu
[emoji38][emoji38]ahsante Kaka,upoo?Madam mtaalamu wa mahesabu yake mwenyewe[emoji173][emoji173][emoji173]
Eeh unavaa accordingly banaKotee nipooo
Kiabiud, kimbele mbele hulooo[emoji126][emoji23]
Mie hata la saba sijamaliza mkuu naokoteza okoteza tu!
Nipo mdogo wangu[emoji38][emoji38]ahsante Kaka,upoo?
Hahaha!Kuna sehemu nasaka riziki huko bush wale wamama nkiwaambia Niko mid 30's wanabisha Kama wao ndo walienda leba vile!Binaaaaaaa. Kimwili kinazidi tu kuwa Cha mtoto
Kile cha mtoko
Daah umenikumbusha last week nilikwenda hos, Dr ananiuliza Nina miaka ishirini na ngapi. I was like doc!!!!Hahaha!Kuna sehemu nasaka riziki huko bush wale wamama nkiwaambia Niko mid 30's wanabisha Kama wao ndo walienda leba vile!
Ila nazeeka baasi tu
Jumamosi naingia ofisini mwendo wa suti moja matata na kiatu kama kile ila chenyewe ni fireKile cha mtoko
Umefurahi eehhh!!![emoji38][emoji38][emoji38]Nipo mdogo wangu
Siku 7 nilizokaa nilioga mara bee.Ila Njombe sio kwa baridi lile jamani [emoji17][emoji17]
Ulipendeza kinoma noma siku ileJumamosi naingia ofisini mwendo wa suti moja matata na kiatu kama kile ila chenyewe ni fire
Asante mkuuUlipendeza kinoma noma siku ile
Kule si ndio usiku inafika had 6 [emoji23]Siku 7 nilizokaa nilioga mara bee.
Ukijiroga ukafua nguo haijawah kauka.
Kule hapana madame.