Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Naumwa kikohozi,, dawa yake picha yako eti kimesema..
Nini sasa?
Nini sasa?
Bwana Yesu asifiwe
Khaaa
Huo ukuu umetoka wapi eti?!
Mmmmmh!Hahaha zinaumwa ziko dhoofu bin taaban
Ni kwamba amenunua dumu la wine halafu sasaa usitake kujua wati neksitiNipe sumarry
Picha si umesema umeoona jamani[emoji134][emoji134][emoji134]Naumwa kikohozi,, dawa yake picha yako eti kimesema..
Hebu hukoo
Ongea kama mdada hebu
Mie naona anacheza na bahatiHvi kwanini mgumu kuelewa eti Dada!??[emoji23][emoji23]
Ndiwooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kumbe naongea kama mkaka enh??
Huh[emoji7][emoji7][emoji108][emoji108]so splendid
NasemaaaKaushaa hahaha
Ndiwooo
Mdogo wangu nishakuambia acha ukali
Mmmmmh!
hujaiona kwani?Tupia wewe sasa
Ita hata dear tuu yaani mpendwaNikuiteje eti jamani??
Picha si umesema umeoona jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Huo mwandiko tuu mimi hooii!!Wapi nimeonesha ukali jamani?? Niongee mara ngapi kwamba mimi ni mpole eti??