Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjue hz emoj zinatesa sana.mdada akiweka anamtesa mkaka. Mkaka nae akiweka anamtesa mdada.hapo hamja FUTA NA KU DELETE .FULL KUTESANA.wengine wangonjwa mkifanya hivyo ugonjwa unazidi
Kabisa mkuu,wakaka wanatutesa sisi wadada na emoj hizo😒,
Na bado picha zinafutwa.

Kweli wanawake tumeumbwa matesooo kuhangaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…