Selfika na JF: Snap it. Show it

Tujiachie tu yaani
Hakikwepeki maadamu umependeza inatosha [emoji23]

Kuna nguo naipenda nilivaa mara moja nataka kuigawa nikiona kila siku napata hasira ...Kitambi kinajichora kabisa [emoji23]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Najiangalia hapa kitambi kilivyotuma na hiki kitenge nacheka tu mwenyew๐Ÿ˜‚

Kuna nguo zinachora adi unajishtukia yaani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Najiangalia hapa kitambi kilivyotuma na hiki kitenge nacheka tu mwenyew[emoji23]

Kuna nguo zinachora adi unajishtukia yaani
Ah kuwa comfortable , maisha ni haya haya [emoji23]

Jana nilivaa kigauni fulani najua sio sema
nalipenda ukisimama hkuna shida ila ukikaa tu hicho kinajichojokeza
 
Na changu hvyo hvyo hapa nimekaa ndio kitambi kimechomoza, nkisimama kutembea fresh.

Hii miili yetu bana ukiifatilia sana utashindwa kuvaa nguo nzuri
 
Hicho kitambi tafadhali kiache kipo sex sanaaa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Na changu hvyo hvyo hapa nimekaa ndio kitambi kimechomoza, nkisimama kutembea fresh.

Hii miili yetu bana ukiifatilia sana utashindwa kuvaa nguo nzuri
Hahaha unakaa kiubishi tu
Kikubwa upendeze mambo mengine hayo ni extra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ