Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,775
Thibotooooooo mbingu zitaangukaaa ... sweetheart wa kubumba bumbaaaππππ nakutazamaaa kwa makini sanaMy sweet wa heartooo
Ni zoom tu π€
π₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έπ₯Έ au sioYako haina hata vocha ya nn ss[emoji3]
Najibu zilizoambatanishwa na miamala ya mpesa[emoji3]
Au ngoja nimuulize Shimba Ya Buyenze km nianze kujibu kila pm[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wivu wa nini ππThibotooooooo mbingu zitaangukaaa ... sweetheart wa kubumba bumbaaaππππ nakutazamaaa kwa makini sana
hahahahaha.leo natega hapa
Weeeeeeeee...Sasa wivu wa nini ππ
Endelea kunitizama, mwisho utaniona niko na sweetheart wangu hapa
Tupia basi Alicia keys wetu π€π€Abeee!
Nakusalimu kwa jina la Selfika π
Ngoja kwanza nikanywe chai πΆββοΈTupia basi Alicia keys wetu π€π€
π π π Naomba na mie chaiNgoja kwanza nikanywe chai πΆββοΈ
ππ Karibu lakin uje na vitafunwaπ π π Naomba na mie chai
π π π chapati au skonzi auππ Karibu lakin uje na vitafunwa
Basi leo nayo siku mkuu, tena weekend ndio hivyo inaanza..
Vitumbua vile ulivyo post juzi ππ π π chapati au skonzi au
ewaaa... vingapi nije navyo π π πVitumbua vile ulivyo post juzi π
ππ mie ni sweetheart wa sweetheart mmoja tu..Weeeeeeeee...
Nikuoneee wivu wakati nina ma sweetheart kibao π π π π π na wewe mmoja wapo au basi πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Viwili tuu vinatoshaewaaa... vingapi nije navyo π π π
Weeeee ππππ nakuona maneno yako hayo utayakataa tuππ mie ni sweetheart wa sweetheart mmoja tu..