Selfika na JF: Snap it. Show it

Wili ya pili katawala mawazo ya kichwa changu. Wachache katika wengi ndio huyuView attachment 2248503
He was not only a statesman but also a great philosopher...na kabisa kabisa aliamini katika falsafa na fikra zake kwa vitendo...iwe ni Azimio la Arusha au siasa zake za Ujamaa na Kujitegemea.

"Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa"...na alilizingatia hili kwa vitendo. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine anayeweza kusema hivyo.....

"Ikulu ni mahali patakatifu. Mimi sikuchaguliwa na wananchi kuja kupageuza na kuwa pango la walanguzi"

He talked the talk and walked the walk...

Mwalimu!
 
Kwa tanzania hasa yeyote anayesoma philosophy 101 University lazima asome philosophy za hii kiumbe
 
Mwalimu alikuwa Tanzania, Mwalimu hakuwa mmbinafsi , Mwalimu alikuwa baba wa wengi, mwalimu alikuwa na ndoto njema πŸ™πŸ™
 
mama weee,shauri yako
Kwetu pesa tu ,ng'ombe tunazigeuza kuwa pesa tu hata usiogope msukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”!! Marahabaaa mjomba Na uzee unazidi kusogea karibuπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”!!
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Uzee ni hazina ujana ni maji moto.. Ukifikia uzee unamtukuza Mungu... Marahabaaaa tooooo 😍😍😍😍 wajomba tunangaza angazaaa hapaaa
 
Mwalimu alikuwa Tanzania, Mwalimu hakuwa mmbinafsi , Mwalimu alikuwa baba wa wengi, mwalimu alikuwa na ndoto njema
View attachment 2248559
Ukitaka kuelewa hasa upekee wa huyu mwamba ni lazima uangalie muktadha na mazingira ya wakati huo. Na umlinganishe na mababa wa taifa wengine wa wakati huo...

Angeweza kufanya cho chote na kuiba anavyotaka kwa sababu hakukuwa na mtu ambaye angeweza kumhoji. Lakini hakufanya hivyo. Hata watoto wake hawakusoma Harvard na Cambridge japo wangesoma kama angetaka. Na angewatajirisha sana kama angetaka lakini leo wapo wanaishi maisha ya kawaida tu. Akina Madaraka. Akina Makongoro. Alikuwa mjamaa kabisa kabisa na aliamini katika falsafa zake za utu, usawa, umoja, uzalendo na kuheshimiana pamoja na kupeana haki bila rushwa na kujali matabaka.

Alitaka kila Mtanzania ajue kusoma na kuandika. Akapambana kufa na kupona kumaliza ukabila. Watu wake wawe wamoja. Waipende nchi yao....na alitaka ndoto hii ichomoze mpaka Afrika nzima. Tanzania ikawa kitovu cha harakati za ukombozi Kusini mwa jangwa la Sahara...

Mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…