Selfika na JF: Snap it. Show it

Na wewe menejaa wa masnichiiii
Bingwa wa kutungia watu story

Uachage la hasha deal na yako.
Watu washakujua… ngoja siku ulivagae kw mtu asiye na akili aruke na wewe.
Pakuficha ID yako utapatafuta nakwambia..
Kiwasheni leo mmalizane kabisaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mshindi anapata anacho stahili, msifiche magonjwaaa siku ingine yakiwa sugu yatawasumbua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Lenie anakupa Hi anadeka kwa mie babu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…