Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Acha kuwasanuaWadogo zangu Jitahidi mnase penyewe sasa katika uhalisia mambo ni tofauti kabisa!!
[emoji1787][emoji1787]Love alafu awe na uwezo wa kukutunza utafurahia maisha
Ila pesa ianze hapa zinazoumia sehemu za siri[emoji17][emoji17] watu wanahela alafu wanazidiana yaani utalala yoo[emoji23][emoji23]
ππππHuhuhuhuh ana mwili wa kichokozi woiiiih mpe salamu.
Ewaaaaaah, muambie kuna mtu somewhere anakusalimia sana.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Will tell him [emoji6]
NdyooooooKisha
Nje Ndani
Zinafuata
πππUmenishinda TabiaYaan linazama myuuuuuuuuuh,
Mr vocha mzimMmeamkaje leo wakuu?
Amkeni tuselfike
Mr vocha mzimMmeamkaje leo wakuu?
Amkeni tuselfike
Kaa hapa usiondokeSelfika basi mr vocha sijakuona kitambo mkuu!!
Usiondoke vuta subira shangazi mambo ni bam bamMr vocha mzim
Nije hapa saangapi Mambo yatakuwa hewani[emoji41]
Leo tulieni naweka vocha za buku ten ten tu hapaaa πππNipo hapa mr vocha!
Labda uone mzuzu tu shangaziii yangu ππππ ila nafurahi kusikia upo vyedaaaa sana natumai hata kina junia wapo safii kabisaNipo hapa naisubiria kwa hamu mjomba nafurahi kusikia u bukheri wa afya mjomba!! Mie pia nipo vyedi sana anko!!
Sijakuona kitambo mjomba!!
ππππ Nimetoka kula kitimoto hayo mafuta ya kitimoto tu kwenye lipsNdio Ndio nafurahi kukuona mjomba ila fanya namna uchonge huo uchebe mjomba lips hizo π!!βοΈβοΈ
Umependeza sanaaa Shangazi yangu πππππMuwe na siku njema wapendwa!!
View attachment 2245318