Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,433
Halafu picha yako imenipita niko hapa hapa dah! Nazeeka vibaya dadeki!mzabzab anataka kunifundisha Tabia mbaya
hahahaha.hayaMimi mwenyewe nauliza tu hapa
Sema pesa isiangaliwe kwenye upendo ..
Love is the greatest of all
Ah mbaya sanaSasa yeye alitaka pesa, huku furaha yake iko kwa mtu mwingine lol. Kaishia kufukiwa chini. Daaaah.
Mdada mzuri kaishia kufukiwa chini, tamaa mbayaa.Hii pisi kali imeniuma sana. Halafu tukiwaambia vijana kuwa wasioe pisi kali kama hawana kifua hawaelewi.
Hata pesa mzile kwa mahesabu jamani. Hii dunia ya sasa hii watu wamevurugwa haki ya nani...
View attachment 2244944View attachment 2244945
hahahahahaMungu anawaona wadogo zangu mtakuja kuwakumbuka hao mjue!!!🤔🤔
Mimi mbona huwa sivutiwi na wanaume wenye hela aunt njoo nipe muongozo itakuwa ninanyota ya umaskini ama
Sawa kabisa mwanamke ukijua kutafuta hela pesa sio kitu kikubwa kwenye mahusiano kunakitu kinaitwa furahaNauliza tu mie
Pesa si kila kitu kwenye mahusiano ...
Kikubwa ni upendo tu , hayo mengine ni extra .
Mie huwa naongea tyuuh hapa, ila kiuhalisia wala siko hivyo,Ah mbaya sana
Nimeumia aisee
Pesa si nzuri hizi dah
Ooh well saidSawa kabisa mwanamke ukijua kutafuta hela pesa sio kitu kikubwa kwenye mahusiano kunakitu kinaitwa furaha
hebu huko nawee, hakna asiyetaka pesa lol.
Kumekuchaaaaah
Alafu bado Wana ndoa zenye amani ukitanguliza mapenz pesa zinakuja tu sehemu zenye baraka na upendo ndo huwa na mafanikioOoh well said
Inahitajika sisi ke tuweze kutafuta vya kwetu .
Napendaga sana kuona wanawake waliofanikiwa huwa nawadmire wao ni ma CEO wa kampuni fulani hapa bongo.
Kumekuchaaaaah
wanyaturu wameingia selfika.
Ndyoooooooooh shangaziiiiiiih.pesa naitaka aunt na naisaka mno lkn kwenye mahusiano sijawahi kuvutiwa sababu ya pesa real
Mie huwa naongea tyuuh hapa, ila kiuhalisia wala siko hivyo,
Mtu had nikubali anizagamue bas, nna hisia nae mnooo.
Siwezi kujitesa eti kisa pesa, khaaaah si uhaini huu, yaan unaikatili nafsi kabisaa.
Sio wanyaturu sasaKumekuchaaaaah
wanyaturu wameingia selfika.
Ni ngumu kwa asilimia kubwaSio kwa karne hii!
Aunt naweza kukupa asee kunahuyu sijawahi vutiwa nae Yuko vizuri Sana alafu kuhudimia sasa Yan hujakohoa huyu hapa Hadi watu wanashngaa vile hakataliwagi mie bhna nikupende hasa pesa sio kitu sijui nimerogwaNipasie hapa mdogo wangu wee walete kwangu!
Raha uwe na mtu unaye mfeel, akikugusa tyuuh koki inajiacha pwaaaah, raha bhana kuzagamuana na unae mpenda.Ooh kumbe
Hii chitchat sema mtu anaweza hisi upo hivyo
Sure lazima uwe na feeling na huyo mtu na kufanya kwa ajili ya pesa unajishusha thamani yako .
Pesa haina maana mbele ya utu wako .
Nakubaliana na wewe kabisa ...