Selfika na JF: Snap it. Show it

Safiri salama nkamu.

Ofisi yako ilihamishiwa Dodoma pia ama?

Pole!

Ila huo mkono sasa. Lainiii mpaka basi. Unaweza kweli kuosha vyombo huo mkono? Kusonga ugali je? Kufua vinguo vya mzee?

Asante Nkamu.

Hapana haijahamishiwa sema nipo huku mpaka mwezi wa 6 mwishoni tutakua tushamaliza kilichotuleta.

Vyombo vinanisamehe Nkamu sioshi nisidanganye nimeosha sana utotoni acha now nipumzike


Mwanamke kuingia jikoni lazima, yes hua nasonga.

Nguo nafua maana sipendi kufuliwa hata za Mzee nafua nikiwepo Dar.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…