Na hii uankumbuka wapi ππ
Hapa atleast nilikua nimekua kua ila sio sanaππNa hii uankumbuka wapi ππView attachment 2242109
Ni mtu mbad hadi leo, ni vile tu saivi majukumu na utu uzima yanasababisha mtu anapunguza kasiπBig boy alikuwa mbayaaaaaaaa eeeh hatari sanaaaa enzi hizo bado tunanukia nukia karamu
Mwambie anichezeshee aone moto wa Upareni πππππ
mchumba tu huyo anakula kitasa anatulia vyedeeee kabisaaa π π π+ chugani ππ
Anachezea moto
Hapa napo nahisi shoga Depal alikuwa bado anaruka ruka na pempas eeeh π π π View attachment 2242110
Usimuumize shoga angu lakinimchumba tu huyo anakula kitasa anatulia vyedeeee kabisaaa π π π
Balaaa na nusuuuu yaniii π πWhen you're looking in her eyes you can see forever (Forever)
You're captured by the beauty of her soul (Oh, yeah)
You know you're never gonna find a woman like this again
So don't let go (Don't let go)
πππ ngoja akuskie
Ila Enrique alikua balaa, aliwarahisishia sana madomo zege enzi zileππ
Muambie aje tunyonye maziwa kwanzaa π π π ndio nitaona kama nitamchapa au nimuacheUsimuumize shoga angu lakini
Pisi kali hua hapigwi anabembelezwaππ
Depal unaitwa huku upewe madhiwaaππMuambie aje tunyonye maziwa kwanzaa π π π ndio nitaona kama nitamchapa au nimuacheView attachment 2242116
Sikiliza hiii
π₯π₯π₯ sanaaa yanii hatari.. hapa huku nashushia tende harua, karanga na masiwaaa na mayai yanguu mawili safiii π πJennifer nae ni π₯π₯π₯
Ngoja niicheki youtube
Nimekutana na nyingine Mouth to Mouth ni π₯π₯Sikiliza hiiiView attachment 2242127
Oooooh wilaya ipi?Hapa ni Iringa mkuu
Me sio ndama πππMuambie aje tunyonye maziwa kwanzaa π π π ndio nitaona kama nitamchapa au nimuacheView attachment 2242116
πππhii najua Depal ndio kalikuwa secondary form nyoyaaa eeeh hata akajui kuvaaa kamasi bado kanarambaa rambaa kama nyokaaView attachment 2242128
πππ ngoja nimuulize totoo kama anataka maziwa
Upoje lakiniπ€£π€£π€£π€£Me sio ndama πππ