Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizi tarehe mwaka Jana Mzee wangu alikuwa anaumwa hoi.
Moyo wangu ulikosa amani mno..tofauti na siku nyingine alizowahi kuumwa.
Nikawa nakuja jf..Moja haikai mbili haikai
Kumbe ndio anakufa masikini

Ooh sad
Hakika mwanzoni si rahisi , nakuombea faraja katika moyo wako .
Kuondokewa na wapendwa si jambo rahisi ..
Mwaka mmoja uchungu bado upo ..
 
Heaven Sent πŸ™
Ujumbe mzito
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…