Kweli. Huyu Mtumishi wetu kutoka Ethiopia hana makando kando huyu. Kamata Neno la wokovu bageshi...likalete mabadiliko ambayo hata Big Boy atafaidika nayo...
Napenda sana mvua sema sasa radi dah! I hate it na hapa radi zinapiga non stop yaani mpaka nyumba nzima inatikisika. Nipo home tu nakunywa tangawizi...
Wee kama baby anataka kukupaka lotion unakubali mrembo sasa wee hizo ndio starehe za wapendanao yaani hizo physical touches. Wee ebu kuwa tayari wikend
Hizi tarehe mwaka Jana Mzee wangu alikuwa anaumwa hoi.
Moyo wangu ulikosa amani mno..tofauti na siku nyingine alizowahi kuumwa.
Nikawa nakuja jf..Moja haikai mbili haikai
Kumbe ndio anakufa masikiniπ
Hizi tarehe mwaka Jana Mzee wangu alikuwa anaumwa hoi.
Moyo wangu ulikosa amani mno..tofauti na siku nyingine alizowahi kuumwa.
Nikawa nakuja jf..Moja haikai mbili haikai
Kumbe ndio anakufa masikini