๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ๐๐ mkuu hii sitaki hata ku imagine.. ila acha tu kuna vitu na hapo ni mtihani mzito sana kwa wafalme kuuza mechi ni dk sifuri
ila kuna kazi , nikipita maeneo maeneo nabaki nawaza tu leo kuna sehemu nilienda ile naingia tu kuna wawili walikuwa wanatoka cheeee, mbele yangu mwenyeji wangu akawa ametokea nikashindwa geuka ila yeye akabaki anaona noma kucheko mwisho wa siku tukaanza kucheka na wote tukageuka yaani mtu kama kajichora๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
its heaven Bro..
Be carefully[emoji3][emoji3][emoji3] Naogopa sana najua nguvu zangu huwa zipo kwenye mind ( imagination ) , chochote ambacho huwa niki imagine mala nyingi huwa
Jamani jamani leo rahaaa.
MTT mzuri
Generally, I'm into thicker girls, wakipita lazima nigeuke, ๐คฃ , kuna nguvu flani unahisi inakuvuta ugeuke tu..ila kuna kazi , nikipita maeneo maeneo nabaki nawaza tu leo kuna sehemu nilienda ile naingia tu kuna wawili walikuwa wanatoka cheeee, mbele yangu mwenyeji wangu akawa ametokea nikashindwa geuka ila yeye akabaki anaona noma kucheko mwisho wa siku tukaanza kucheka na wote tukageuka yaani mtu kama kajichora
Sana.
Kwahiyo Leo umeotea[emoji3]Yaani leo nina bahati ya mtende
Maana kila siku naambulia za uso
Ata kama ni google sawa tu [emoji1]
๐บ๐บ๐บl
Big boy wana faidi
Tutaenda kujirejister tufanye tangazo tupige hela๐ต
๐๐๐๐ ๐ yale kama maua yenye harufu nzuri, na huwezi sikia harufu nzuri usitake kujua inatokea wapi.. acha tu ila ๐ฅ๐ฅGenerally, I'm into thicker girls, wakipita lazima nigeuke, ๐คฃ , kuna nguvu flani unahisi inakuvuta ugeuke tu..
๐ฟ๐ฟ๐ฟ๐บ๐บ๐บ
Binti Abby
Sio kwamba ni mnene sana kwa sasa bali ule mwili wa usichana umeondoka umekuja mwili wa uhenga zaidi nimeongezeka kidogo na mvi mbili kichwani๐ฌ๐ฌJitahidi ukarudishe kama sio sana basi hata kidogoโฆ Ulikuwa vyedi sana ๐ฅ
๐ก๐ก๐ฟ๐ฟ๐ฟ