Tembea yangu huwa ni ya mahesabu sana, sio kila mafuta yanafaa , huenda yakaa kwa wengine kwako yasifae.. na huwa naenda kujidunza admin na kupata exposure .. to build networkHingera pia!
Mi ilikuwa hela ya wazazi tu,sina ubavu huo[emoji3]!
Nipo tu hakyamama ni balaa!
Indeed nina exposure kwakweli!Kikubwa umeenda , na kama umeenda na umejifunza vizuri umejua ambavyo hukujua au sio [emoji16][emoji16]
Hongeraaa[emoji8][emoji8]Kutoka maktabani na mama BAE.View attachment 2237106
π π π Mume mnachagua sanaaa, sio kwamba hawapo wapo ma Big boys ya maana ni weweeeee tuIndeede nina exposure kwakweli!
I long for,Israel!
Yesu anipe mume atakaeelewa,mwenye ukwasi twende huko[emoji3][emoji849]
Muombee kaka yetu aopoe ukwasi wa kuwafikisha hukoIndeede nina exposure kwakweli!
I long for,Israel!
Yesu anipe mume atakaeelewa,mwenye ukwasi twende huko[emoji3][emoji849]
Nyie huwa mnaongea kirahisi,but real,hamjui tunakutana na nini! Serious iam telling u![emoji28][emoji28][emoji28] Mume mnachagua sanaaa, sio kwamba hawapo wapo ma Big boys ya maana ni weweeeee tu
[emoji3][emoji3]nimemuacha bwanaa naonana ananiletea mambo meusi[emoji85]Muombee kaka yetu aopoe ukwasi wa kuwafikisha huko
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni sawa pia!Tembea yangu huwa ni ya mahesabu sana, sio kila mafuta yanafaa , huenda yakaa kwa wengine kwako yasifae.. na huwa naenda kujidunza admin na kupata exposure .. to build network
[emoji113][emoji8]Evening ! [emoji2772]
View attachment 2237123
Mwenyekiti nakudai ya Jana usiku!!Evening ! ποΈ
View attachment 2237123
Mnakutana na nini π π πNyie huwa mnaongea kirahisi,but real,hamjui tunakutana na nini! Serious iam telling u!
lol hata naikumbuka sasaππππ!! Kaa hapo katibu usitokeMwenyekiti nakudai ya Jana usiku!!
Mama mama π₯π₯π₯πππEvening ! ποΈ
View attachment 2237123
ππππ€ marahabaaaaaa mjomba!Mama mama π₯π₯π₯πππ
Strawbella [emoji16][emoji16]View attachment 2237075
Usiniambie umetupiga chiniπ₯Ί[emoji3][emoji3]nimemuacha bwanaa naonana ananiletea mambo meusi[emoji85]
Safi kabisa mtumishi. Pambana aisee mambo ni π₯π₯π₯π₯ tungeshare experience za huko ila hapa public nakwepa vingi kuongeaaa bado kuna unywaji wa uji na maziwaaa π π π π But safi sana hongeraNi sawa pia!
Coz sio kila sehemu sahihi,ni sahihi kwako!
Na sio kila mafuta yanakufaa!
Mi pia ukisema suala la mafuta ya kinabii ile ta ya scoan na chain ya watt wake .....wengine siwezi,siwaelewi lkn naamini wako vzr tu!
Kwa ualim ni Christophe, basi!
Wengine nasikiliza kupata na kuongeza maarifa mapya
π π Shangazi jana hujatupia hadi nikalala mieMjomba unanijua nini personally [emoji2][emoji2]