Selfika na JF: Snap it. Show it

Yohana ali ali, ona mji iiiih
Lakini hakupata lugha, ya kueleza.
Mji huo mtakatifu, makao ya hao watakatifu,
Ambao ndani yake hakikuonekana kinyonge,
Wengine watilia mashaka juu ya mji huo wa Yerusalemu,
Je kweli tutaishi ndani yake? X2

Mji
Mji wa Yerusalemu ndugu, ni mji halisi,
Siku moja tutaingia mji huo wa thamani,
Wenye utukufu wa Mungu na mwangaza tele,
Macho yangu hayajawahi kuona, mji huo usioelezeka. X2


Wajiandaaje kuingia pale?
Maana kila chozi litafutwa, machoni mwao
Maombolezo yatakoma, kilio maumivu vyatoweka,
Tazama mambo yote, yatafanywa kuwa ni mapya,
Lakini waongo na wachawi, wazinzi na waabudu sanamu,
Hawataonekana ndani yake. X2


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…