Bado saa 8 na nusu mchana hapa. Namtafuta huyu mpwa wangu naye simpati. Aje azubae mpaka uondoke huko Usukumani yaani sitasalimiana naye tena...tena shwaini zake kabisa sijui anazubaa nini
Bado saa 8 na nusu mchana hapa. Namtafuta huyu mpwa wangu naye simpati. Aje azubae mpaka uondoke huko Usukumani yaani sitasalimiana naye tena...tena shwaini zake kabisa sijui anazubaa nini
Shangazi. Ningekuwa sijui kuwa we mbongo ningeweza kubisha usiku na mchana kuwa we ni zile pisi kali za ki-mulatto kutoka Brazil, pisi ambazo zinashikilia nambari wani kwa ulimbwende duniani.
Halafu mwenyewe upo tu yaani unacheka na sisi hapa wala huna makuu dah!