nyie leo kichaa changu kilipanda mara dufu, nimemuosha mtu huko, nusu atapike, akabaki anashilikia tumbo kuuma, na nilivyo mkaksi mbele ya watu.
Kuna mkaka akawa anasema mie nna mdomo mchafu, nkamjibu tena mchafu kweli, hata choo cha manispaa kinasubiri.
Nkawaona wanamuambia anipeleke Dean of Students, ndo nasubiri mrejesho, uzuri wake text zake zote ninazo.