Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nimeshaachishwaaa, baba Mchungaji kaukomesha ubahili wangu.πππππ nipo PM .. mafuta ya buku tano utaharibu gari hiyo
Kichwa yako ni ngumu sanaπ€ͺπ€ͺmuone kwanza..πππ siku za nyumaaa .. papparoti
π π π π Umepewa card eehNimeshaachishwaaa, baba Mchungaji kaukomesha ubahili wangu.ππ
Eeeh ndiwooooooooooo ππππ π π π Umepewa card eeh
πππππKichwa yako ni ngumu sanaπ€ͺπ€ͺmuone kwanza..
Kipindi kilichopita nikageuka customer careβ¦acha uzaramo ππ
ππππ Safi sanaaaEeeh ndiwooooooooooo πππ
Litakukuta jambo nakwambiaππsirudii labda wewe uanze.June utakuwa location ganiπππππ
Naomba irudiwe customer care naomba irudiwe sikuwepo okay wakati wa matukio π π π π π
Ile picha.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Safi sanaaa
alafu nilidanganya ile nasema nipo Lugalo nilikuwa NDC kunduchi πππ nilipofika tangi bovu nikasema nipo mwenge , nilipofika lugalo nikasema nimefika π π π π πLitakukuta jambo nakwambiaππsirudii labda wewe uanze.June utakuwa location gani
Nilitundika hapa hapa muulize madam shangazi mahondaw au Strawbella na ingine nilitupia usiku kabisaa π π πIle picha.....
Hayakuwa makubaliano yetu hayo.Nilitundika hapa hapa muulize madam shangazi mahondaw au Strawbella na ingine nilitupia usiku kabisaa π π π
Nikumbushe makubaliano yetu atiii π₯Ήπ₯Ήπ₯ΉHayakuwa makubaliano yetu hayo.
Nilitundika hapa hapa muulize madam shangazi mahondaw au Strawbella na ingine nilitupia usiku kabisaa π π π
NimesusaNikumbushe makubaliano yetu atiii π₯Ήπ₯Ήπ₯Ή
Wenzako walaaaaaa πππNimesusa
Leo kuna mahala naenda, nitatupia ingine ... yaani ni π₯π₯π₯π₯Kabisa ulitrokelezea mno mnoo Obama akasome anko yaniiiii ile suti dahhh....!Au basi!
Leo kuna mahala naenda, nitatupia ingine ... yaani ni π₯π₯π₯π₯
Yani na juhudi zoote nilizofanya umekosaKhaaa hata niliona sasa. Nimekaa nasubiri selfie yako eti, acha uchoyo bana.
π π π Lazima nikutag ShangaziWauweeeeehhh!! Usiache kunitag baba pasta .!!