Selfika na JF: Snap it. Show it

Love ( agape kind of love ) linabaki the same halina wave, but feeling zina badirika na wengi wanachukuana kwa feelin not love.. Pendo ( Love ) haliyumbi love is above all.. that why GOD is Love
Kwa kweli hatuna upendo wa Agape; tuna conditional love; lazima umeet vigezo vyangu kadhaa ndiyo uwe na mimi. Na ndiyo hiyo, leo ntaamka nakufeeeeel, kesho sikufeel kivile, kesho kutwa nakufeel tena. Basi mapambano yanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni eros kind of love .. ambayo under control ya feelin , mazingira na lust of eyes πŸ˜…πŸ˜… hii ni πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ kwenda mbele
 
Mbona mzabzab flesh mnachagua sanaa
Weeeee acha masihara
When it comes kwenye hilo eneo, Nishaacha watu ,sitaki utani!
Unafikiri kwann baadhi ya watumishi kitu cha Mungu kinakufa?
Adui nae yuko standaby kukuletea mtu aliyebeba kitu kitakachoua cha Mungu ndani yako!
Ndo maana kuoa/kuolewa /kuzaa watt kwa watu walio okoka ni zaidi ya vita vya tatu ya dunia!

Sbb adui anajua unazaa kitu ambacho hakijabeba mbegu yake,anajua unazaa adui yake!
 
Bila kwemda rohoni.. cha kwanza kama ni mtu mnaendapenda hakuna Lust kati yenu, mnaweza lala hapo msifanye uzinzi, na ukikaa nae mda wote unakuwa na peace na upo comfortable.. hiyo ni simple ku prove huyu mtu ndie au sie... ni sawa na mtumishi kama inatokea una mtamani it means huyo mtumishi hana groly kuna lust hapo lala mbele... hiyo ni kanuni nyepesi kabisa ya kujuwa huyu sio au ndio.. maana pia vijana wengi wanaingia mkenge kutegemea ndoto na maono pasipo kusahahu mtu anaweza kuamulu malaika wake akaja na ujumbe flani kwako ukahisi ndio huyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Badae wizo
Acha nimsikilize baba ss kuna matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…