Selfika na JF: Snap it. Show it

Imekaa dk 5 huoni hadi nime quote nkamu
Niko na RB hapa siweziweka hiyo ya live muda mrefu natafutwa kwa udi na uvumba
Huyo anayerusha vocha selfika ni nani??
weeeeeeeehhh kumbe!!!πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™† Ebu Watuachie bosi wetu sie wakwendreeeeee zao!!
 
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema


Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema
Uabudiwe Yesu, Wewe Mwema

Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema


Eeh Bwana katika miungu yote
Ni nani aliye kama wewe
Mtukufu katika utakatifu
Mwenye Kuogopwa katika sifa

Uliyevuma kwa upepo wako
Bahari ikafunikiza adui
Wakazama kama risasi
Risasi ndani ya maji makuu

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema

Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema
Uinuliwe Yesu, Wewe Mwema


Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
Utukuzwe Yesu, Wewe Mwema
 
Ngoma moja baada ya moja
 
Em fanya hivyo, na venye nina shida ya hela saivi itafaa sana kuenjoy mwanza huku pochi imejaaπŸ˜‚πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…