Hapo mibs natamani sana nipafike last week nilikuwa huko wakati napanga mikakati ya kufika huku nikabanwa maeneo mpaka naondoka
Nasomesha mkuu..
Nimetake risk mapema mimi...
Nikupm bosi
KabisaaaHivi tushafanikiwa eti???
EeeehhMuda wa kuangaliana unatoka wapi?
Sasa mbona zamani ulikuwa unanifanyia vileee jamaniHahahaha
Mangi mtu poa sana.
Sawa kakaNaanzaje kuwatenganisha Nyinyi na mimi ni kitu kimoja kabisa
Ulikuwa wapi eti jamaniBado Dada si unajua ndugu yako ni mzito mie
BarikiwaSina shaka nawe Majukumu ya Dada unayaweza[emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni rafiki mzuri sana
[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1252062
Mangi huyo
Walionea wivu Tango?
Natamani ningekuwa huo wino jamaniiiiView attachment 1252062
Mangi huyo
Haha Mp bana....Mbali sana depal, asee [emoji23][emoji23]
Woyoooo
Shunie anakudanganya tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe
Inteview imeanza
View attachment 1252062
Mangi huyo