Haha aisee [emoji23]Kumbe mnajua ila mnaletaga ununda tuu hapa jf....watu wanawatongozeni nyie mara handsome boy mara sijui awe na degree....kama kula kwenu sii ulikuwa wala huku kwa mwanaume umefuata de libolo tuu
Wee ndoto gani hiyo ambayo haihushi kuwa na kidume kinakupelekea moto.Haha aisee [emoji23]
Sasa hivi tunawaza kivingine , inahitajika tutimize ndoto zetu .
Sio me naongea generalWee ndoto gani hiyo ambayo haihushi kuwa na kidume kinakupelekea moto.
Ah sasa huyo sii anaweza akawa anapelekewa moto mbususu tuu kwani shida iko wapi. Tena wa namna hiyo mie ndio natafuta....yaani kila mtu na career yake no watoto wala nini ...ni kugegedana na kazi basiSio me naongea general
Ukikutana na ke anayependa kazi .. yeye kuolewa anaona kutampotezea muda maana inahitajika azae mara hivyo si rahisi kufikia mambo aliyotamani .
Haha kwa huyo unamuweka ndani kabisa ?Ah sasa huyo sii anaweza akawa anapelekewa moto mbususu tuu kwani shida iko wapi. Tena wa namna hiyo mie ndio natafuta....yaani kila mtu na career yake no watoto wala nini ...ni kugegedana na kazi basi
We siulisema unakuja??? Njia gani umepita hata hufiki 🤓hata kuniita jamaniii 🥸🥸🥸
Yaani bila kuchelewa asije akabadili gia angani. Wala hatasikia nikilala sijui mbona hujapika mara ah mbona hunizali watoto...hatasikia kamwe. Yeye cha msingi anipee mbususu na kila mtu apige kazi basiHaha kwa huyo unamuweka ndani kabisa ?
Ah nimependa hiyo jeans mpasuko na hizo high heels
Haki tena....??? 😯😯😯Basi kesho tuonane the treat is on me
Fo sure tena piga hiyo jeans mkato na high heels zako na tshirt top moja matataHaki tena....??? 😯😯😯
Ooh vyemaYaani bila kuchelewa asije akabadili gia angani. Wala hatasikia nikilala sijui mbona hujapika mara ah mbona hunizali watoto...hatasikia kamwe. Yeye cha msingi anipee mbususu na kila mtu apige kazi basi