Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
aiss nani anafaidi hapo...naona kuna mtu anakata kiu tu hana namna!Kweli kuna watu wanafaidi.
aiss nani anafaidi hapo...naona kuna mtu anakata kiu tu hana namna!
huyo chui chui atakuwa na hela eeeh!pesa acha iitwe pesa
ha ha ha ha ha!du ma-over size wewe hukuacha hoi siyo...haya bana ngoja mwenzio afaidi!!Hayo ma-over size ndio yenyewe chamsingi awe msafi.
huyo chui chui atakuwa na hela eeeh!
haiwezekani....yaani huyo kaka awe na hera ashindwe kuchukua kitu kama wewe anaendea minyama hiyo...sasa kama anataka hiyo minyama si angenunua sambusa!!hapana
huyo kaka ndo ana hela
haiwezekani....yaani huyo kaka awe na hera ashindwe kuchukua kitu kama wewe anaendea minyama hiyo...sasa kama anataka hiyo minyama si angenunua sambusa!!
hahahahahahaah
uwezi jua bana kila mtu kuna anachopenda mwingine
papuchi ndogo mwingine papuchi kubwa
mwingine kimbau mbau mwingine manyamanyam
haya bana ila mimi hapo hujanipata...minyama hiyo kwani naenda kuila!hahahahahahaah
uwezi jua bana kila mtu kuna anachopenda mwingine
papuchi ndogo mwingine papuchi kubwa
mwingine kimbau mbau mwingine manyamanyam
Kimfaacho mtu chake!!!
haya bana ila mimi hapo hujanipata...minyama hiyo kwani naenda kuila!
mi nakwambia tembea uone kuna watu wanapenda vitu vya ajabu kutoka kwa wapenzi wao
KUNA WENGINE WANAPENDA NUNDU
ANAPENDA MWANAMKE MWENYE MANUNDU NA ALAMA ALAMA