donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Alafu hapo kuna wawili nawafaham
Sio necessary kuweka hukuWa kwanza kulia na anaemfatia, nawafahamu.
Afu huyo wa pili kulia alikuwaga shemeji yangu kwa mshikaji wangu asee.
Huku ndo kuharibiana kaziSio necessary kuweka huku
Ni mkeo?Sio necessary kuweka huku
Hahahaningejua ningeandamana jana
Naomba namba mkuuAlafu hapo kuna wawili nawafaham
Wa kwanza kulia na anaemfatia, nawafahamu.
Afu huyo wa pili kulia alikuwaga shemeji yangu kwa mshikaji wangu asee.
Ninavyoufahamu unyanyasaji wa kijinsia polisi, hata wangekuwa wazuri kiasi gani....
Ninavyoufahamu unyanyasaji wa kijinsia polisi, hata wangekuwa wazuri kiasi gani....
Hili ni kosa kubwa waajibishwe..