Ndio hao hao wanaitwa minions..wana lugha yao hamna anaeijuaaaWamefanana na wale wa kwenye movie ya "Despicable me." Napenda Animation movies sana & documentaries za wanyama.
Ha ha ha! Kweli aisee.Ndio hao hao wanaitwa minions..wana lugha yao hamna anaeijuaaa
Nawakubali sana hawa jamaaHa ha ha! Kweli aisee.
Vishetani
Napenda animation sanaaaa
"Monsters university" hahahah mike wazowsk no way!
Wacha weee......
Napenda animation sanaaaa
"Monsters university" hahahah mike wazowsk no way!
Preta Inategemea na simu kwa mfano nikitumia TECNO havikubaliMshana Jr.....unawezaje kuweka hivyo viemoji.....?.....Mimi nikiweka havitokei......
Hotel Transylvania 1&2Monsters University nzuri sana,
Napenda pia Animations,
Rango,
Frozen,
Frozen fever,
Pirates,
El dorado (the city of gold)
Atlantis,
Princess Swan,
Justin,
Sin bad,
How to train your dragon,
Mulan,
Tangled,
Etc.
Hotel Transylvania 1&2
Kung Fu panda zote
Pussy in boots
Ugly duckling
Mshana Jr.....unawezaje kuweka hivyo viemoji.....?.....Mimi nikiweka havitokei......