Self Image Psychlogy(SIP),Hii ni dhana ambayo unfanya Mtu kujitambua Binafs katika Mambo mbalimbali.Ni hali ya Mtu kujielewa vyema na kujitazama katika mambo yako kwa kina kabl a ya yeyote yule
Hal hii inamfanya mmoja kujiuliza baadh ya Maswal ambayo yatakuwa na Tija na Faida kwake,mfano ye ni nani,yuko wap na anenda wap kulingana na Mahala alipo na zaid anapaswa kufanya nn kulingana na wakati.SIP ni njia ambayo haiepukiki kwan popote ulipo utaitumia,japo baadh yetu ushindwa mambo yao kutokana na kutolilewa vyema jambo hili...
Naiman kwa Wataalam zaid wana nafac nzuri kuendelea kuchangia juu ya suala hili kwa lengo la kutufidisha zaid
Nawasilisha...