self defence na hijab

self defence na hijab

Makene

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,475
Reaction score
282
hii nimeiona habari za michezo tbc, watoto wa kike waliovalia mavazi ya hijab wakifunzwa mbinu za kupiga kwa mtindo wa 'kung fu'
Je malengo ni ya kuwapa uwezo wa kujilinda kibinafsi au kuna malengo yaliyojificha ya kuwaandaa kwa kazi maalum siku zijazo.
Wadau hebu nipeni maoni na uelewa wenu
 
Kwani mazoezi yamewekwa kwa dini flani tu? Acha udini wewe! Lengo lako ushaeleweka haya lete propaganda zingine! Halaf wewe si ndio msemaji wa chama cha kikanda au? Sikushangai basi.. Endelea
 
Ni haki yao kucheza mchezo wowote. Hakuna haja ya kuwahukumu na kuwaita majina. Hii islamophobia imeanza kuwa ugonjwa sasa hasa kwetu wabongo. Si ishara nzuri wanangu. Think like Tanzanians first the rest will take care of itself.
 
hii nimeiona habari za michezo tbc, watoto wa kike waliovalia mavazi ya hijab wakifunzwa mbinu za kupiga kwa mtindo wa 'kung fu'
Je malengo ni ya kuwapa uwezo wa kujilinda kibinafsi au kuna malengo yaliyojificha ya kuwaandaa kwa kazi maalum siku zijazo.
Wadau hebu nipeni maoni na uelewa wenu

Mkuu pitia thread zote zinazozungumzia mambo ya dini. Utakuta jamaa wanatishia kuwa kama alqaeda. Ndo ujue maandalizi yameanza hivyo. Hatari sana.
 
Naona tatizo lako ni hijab... Pole sana
 
hii nimeiona habari za michezo tbc, watoto wa kike waliovalia mavazi ya hijab wakifunzwa mbinu za kupiga kwa mtindo wa 'kung fu'
Je malengo ni ya kuwapa uwezo wa kujilinda kibinafsi au kuna malengo yaliyojificha ya kuwaandaa kwa kazi maalum siku zijazo.
Wadau hebu nipeni maoni na uelewa wenu

Wewe ndio yule msemaji wa magwanda au mwanawe? ongeza "d". baina ya "n" na "e" kwenye avatar yako, utapata jibu ulitakalo.
 
wanatumia muda mwingi kuandaa watoto katika mambo ya kipunguani kuliko mambo ya msingi
 
hata kama akiwa ni msemaji wa chama fulani (sina hakika na hili maana haijasemwa chama gani) anayo haki ya kujisemea yeye kama yeye. Ukiwa msemaji, utakachoongea kwa approval ya ofisi kuu ndio huwa msimamo wa chama kinyume na hapo ni mawazo yake binafsi.
 
Ni haki yao kucheza mchezo wowote. Hakuna haja ya kuwahukumu na kuwaita majina. Hii islamophobia imeanza kuwa ugonjwa sasa hasa kwetu wabongo. Si ishara nzuri wanangu. Think like Tanzanians first the rest will take care of itself.
imeshakuwa ugonjwa mkubwa ilianza miaka ya sitini bila kukemewa... ni watu tu wanasahau.. waliitwa "waswahili" "wanywa kahawa" nk.. huu ni muendelezo... tulikemea hapa lakini kwa kuwa wapo wanaodhani wako nje ya jahazi wanapaswa kujua likianza kuzama kama si wao na sisi.. basi hata binamu litazama nao!!
 
Back
Top Bottom