Seleman Mdabi anatafutwa

Seleman Mdabi anatafutwa

Nakujua sana, na ninajua una orodha ya wana jf unaohitaji kuwapa somo, binafsi sijawahi kuwemo katika hiyo orodha kwa sababu sijavurugana nawe kwa jambo lolote.

Vipi mpaka sasa wamipiga wangapi hiyo namba yako?

Una stress za maisha…
Kama huna la maana kaa kimya.
Unadhani kila mtu anafikiria upumbavu kama unavyofanya!
Na hapo we ni mwanaume umekaa kufikiria ujinga…
 
Una stress za maisha…
Kama huna la maana kaa kimya.
Unadhani kila mtu anafikiria upumbavu kama unavyofanya!
Na hapo we ni mwanaume umekaa kufikiria ujinga…
Unamaanisha kuwa ujinga upo, ukiwa unafikiria kuwa nawaza ujinga bila shaka wewe utakuwa mjinga kuliko mimi.

Binadamu wote ni sawa.
 
Ni kweli hakuna mwenye jipya chini ya jua, ila hatupaswi kuwa kimya, ulileta bandiko tutalipitia na kulitathimini maana hata wewe huna jipya ila hukai kimya.

Hivi ukiandika uwa unasoma ulichokiandika? Na unategemea mtu akutegeshee namba mtu wa aina yako mwenye akili za namna hii?

Acha shobo.

Unapata wivu hadi kwenye matatizo ya watu?

Mambo unayoyafanya ni ya wadada ambao hawajitambui.

Sasa hii akili yako utegemewe na familia, watatoboa kweli?

Tufanye umeshinda, haya kalale sasa.
 
Sorry huu mwandiko mbona wa kiume
 
Kama haufahamu chochote kuhusu huyo aliyebandikwa picha yake,tafadhari kaa kimya tu.Watu wapo kwenye matatizo,wanamtafuta mpendwa wao,baadhi ya watu mnaleta kebehi,siyo vizuri wadau,japo mna uhuru wa kuandika chochote kile.
 
Habari?

Kwa yeyote ambaye amemuona mtu huyu pichani, tafadhali ninaomba msaada wa taarifa.

Majina yake ni Seleman Mdabi
Ni daktari katika Dispensary iliyopo Tabata kinyerezi. Kabila lake ni Mnyiramba. Kwa sasa ni mgonjwa. Amepotea tangu mwisho wa mwezi wa nane hadi Sasa.
Makazi yake ni Tabata Kinyerezi.

Kwa yeyote aliyemuona hivi karibuni naomba nipigiwe kwa namba 0712504985.

Ahsanteni.

View attachment 2743509
Nilidhani ni Mtani wangu wa Kiha Mkoani Kigoma Kocha Selemani Matola Veron Mzambia Midevu Mzee wa Para ( Dongo ) na Fegi.
 
Back
Top Bottom