Selelii: Rostam ni mmiliki wa Dowans, Richmond

Selelii: Rostam ni mmiliki wa Dowans, Richmond

Kumbe mnajua RA ndiye mmiliki wa Dowans,sasa kelele mnazopiga dhidi ya viongozi wa nchi zinatoka wapi wakati RA si kiongozi wa TZ?

Fuatilia hoja za wachangiaji hapa. JK ni wakala tu Rais ni RA.
 
Ujumbe toka kwa Salvatory Rweyemamu kwenda kwa vyombo vya habari:

Huyu Selelii simwelewi hata kidogo kunisingizia kwamba niliwahi kumwambia mmiliki wa DOWANS ni Rostam. Kwanza huyu Selelii si rafiki yangu na hata siku moja sijawahi kukaa naye mahali popote tukiwa wenyewe wawili na kumwambia hayo anayodai nilimwambia. Mimi simjui ni nani mmiliki wa DOWANS yeyote anayetaka kufahamu nani ni mmiliki wa DOWANS aende ofisi za BRELA ataweza kupata information zinazoonyesha nani ni mmiliki wa DOWANS. Kama Selelii akiendelea kuudanganya umma basi nitamshtaki kwa Rais Kikwete ili amchukulie hatua kali sana.

Usanii mkali wa kudanganywa Watanzania ili kutuibia mabilioni yetu bado unaendelea kwa kasi kubwa. Mungu inusuru nchi yetu na mafisadi waliokubuhu.
 
nilistaajabu ya 'Watanzania wapo tayari kula majani':A S 103: sasa nimeyaona haya ya wizi wa mchana kweupeeeee
 
Ujumbe toka kwa Salvatory Rweyemamu kwenda kwa vyombo vya habari:

Huyu Selelii simwelewi hata kidogo kunisingizia kwamba niliwahi kumwambia mmiliki wa DOWANS ni Rostam. Kwanza huyu Selelii si rafiki yangu na hata siku moja sijawahi kukaa naye mahali popote tukiwa wenyewe wawili na kumwambia hayo anayodai nilimwambia. Mimi simjui ni nani mmiliki wa DOWANS yeyote anayetaka kufahamu nani ni mmiliki wa DOWANS aende ofisi za BRELA ataweza kupata information zinazoonyesha nani ni mmiliki wa DOWANS. Kama Selelii akiendelea kuudanganya umma basi nitamshtaki kwa Rais Kikwete ili amchukulie hatua kali sana.

Usanii mkali wa kudanganywa Watanzania ili kutuibia mabilioni yetu bado unaendelea kwa kasi kubwa. Mungu inusuru nchi yetu na mafisadi waliokubuhu.
Huyo Selelii naye ni Mwongo na kizabizabina -Salva
 
Sasa tukishapata taarifa kama hii tunakalia kuongea tuuu!! Halafu? Kwani tumeanza kuambiwa leo jamani? Ndio maana nilisema 'unafiki maneno mengi bila vitendo'. Wao wanajua hatuna cha kufanya! Sisi maneno wao waula tu!! Dowans italipwa, tutapiga kelele wee then basi! Walishaona EPA so hawana wasiwasi
 
Seleli siku zote ni mpambanaji bungeni kutetea maslahi ya taifa. Sote tunamjua na tunamwamini anachokisema.

Bado wako wapambanaji wengi tu hapo nje hawajaongea hadharani juu ya mafisadi na ufisadi wao nchini. Subirini kidogo, mengi yataibuka zaidi na zaidi kama hayo maelezo juu ya Salva Rweyemamu anavyomg'ata na kumpuliza JK huko ikulu.
Uwezo Tunao, hakuna ubishi kuhusu upiganaji wa Selelii, ila kuna swali la Mzee Mwanakijiji, " WAPIGANAJI WALIOKO CCM, WANAPIGANIA NINI?”
 
Rostam nyi mbafu ya kyirari. Na Kiwete nyi woroe tupu!! :amen:
 
Kumbe mnajua RA ndiye mmiliki wa Dowans,sasa kelele mnazopiga dhidi ya viongozi wa nchi zinatoka wapi wakati RA si kiongozi wa TZ?

What a naive argument!!!....... Can't you be an adult even for a minute!!!....
 
Kumbe mnajua RA ndiye mmiliki wa Dowans,sasa kelele mnazopiga dhidi ya viongozi wa nchi zinatoka wapi wakati RA si kiongozi wa TZ?

We una matatizo mengi nenda kliniki kwanza. Rostam ni nani kama siyo viongozi wa juu wanamlea kwa maslahi yao?
 
Mwisho wa yote huooo umewadia. Watetezi kama Mwakyembe, Sitta, Luhanjo, Selelii na wengineo. Kazeni mpaka kieleweke na ikiwezekana ondokeni huko kulikojaa ufisadi ili muongeze kundi la upambanaji maana siamini kama unaweza kusukuma gari ukiwa umepanda ndani yake.
 
Hivi watanzania tunangojea mpaka wazungu waje kutuamulia nini cha kufanya? Kumbukeni umafia ulianzaje, na ndo kinachotakiwa sasa japo RA mwenyewe inasemekana ni mafia lakini tukiamua umafia wake hauwezi kufua dafu kokote. Yaani kwanza nina haasira mimi jamani yaani yaani....:frusty: Anyway ngoja nieendelee kujinoa
 
Mwisho wa yote huooo umewadia. Watetezi kama Mwakyembe, Sitta, Luhanjo, Selelii na wengineo. Kazeni mpaka kieleweke na ikiwezekana ondokeni huko kulikojaa ufisadi ili muongeze kundi la upambanaji maana siamini kama unaweza kusukuma gari ukiwa umepanda ndani yake.
 
wapambanaji wote tokeni ukijanini na kuwa kwenye uchademani ili tujenge tanzania mpya
 
kama kweli kuna ushahidi kwa nini usi2miwe na waliofungua kesi mahakama kuu kupinga malipo ya Dowans kuweza kuibana serikali juu ya malipo ya kidharimu kwa "The man behind the economy of Tz".
 
Ni nini kipya katika aliyoyasema Selelii?

Kwanza naye kwa nini akasemee uchochoroni? Si aende redio zinazosikilizwa na wa-TZ wengi!! Kama anaona TBC watachakachua si aende hata Radio Free Africa!
 
Rahaaaaaaaaaa!!!!!!!! Utamuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! acha bwana, hapa ni patamu sana. Kama vile unakaribia kulenga kuachia kitu
 
Back
Top Bottom