Former Taiwanese president jailed for life
By John Chan , 23 September 2009
In a highly political court decision on September 11, former Taiwanese President Chen Shui-bian was sentenced to life imprisonment and fined $US6.1 million. He was convicted of forgery, embezzling government funds to the tune of $3.15 million and accepting bribes of $9 million. The Taipei District Court stripped Chen of his civil rights, thus barring him from voting or running for office. His wife Wu Shu-chen also received a life jail term for corruption and a fine of $9.2 million. Both are appealing against their sentences.
Chen came to office in 2000 and lost to the Kuomintang (KMT) in 2008. The KMT initiated investigations into Chen and his family in 2006, while still in opposition. The prosecutors' investigations of Chen began soon after he left office, leading to his detention late last year. The charges included using a secret presidential fund, which was meant to be used to bribe small countries into granting Taiwan diplomatic recognition, for personal gain and accepting kickbacks over a land deal involving a flat panel manufacturer.
Chen repeatedly denounced the trials as a "political prosecution" by the KMT government of President Ma Ying-jeou. There is certainly an element of truth in Chen's declarations that "everyone else is doing the same thing". The KMT, which dominated Taiwan as a military dictatorship until 1987, was notorious for its rampant corruption, secret government slush funds and close ties with business.
Nafikiri kwa kesi hii SteveD/Mkandara na Mtanzania mko sahihi kwa upande mmoja wa shilingi Vs mwingine.
Alichokisema SteveD ni kweli kuwa wakati mwingine ukihukumu kesi kama hii na kumfunga Ex-President, utakuwa umeokoa mamilioni ya fedha kwa siku za mbeleni. Alipoingia Rawlings wa Ghana, nilipewa habari kuwa Mafisadi kadhaa walichapwa risasi na kuweka mfano wa nini kinaweza kuwapata mafisadi.
Ila upande wa pili wa shilingi kuna maneno ya Mtazania. Kwa nchi nyingi duniani ambazo viongozi wa zamani wanaondolewa kwa njia ya uchaguzi, sijawahi kuona kiongozi wa zamani akihukumiwa na kufungwa. Sanasana watahukumiwa watoto, mkewe, mawaziri, wapambe nk. Ukiangalia hata German, Mzee Helmut Kohl, aliwekewa mizengwe mingi sana na mmoja wao alikuwa ni huyu mama anayetawala sasa Angela Merkel. Pamoja na kuwa na ushahidi na yeye kukubali kupokea HONGO kutoka kwa kampuni ya mafuta ya Ufaransa - ELF.
Hapa ndipo unaanza kukubaliana na Mtanzania kuwa, kumshabikia huyu mtu ni kupoteza muda na pesa. Sanasana inabidi uweke au kubadilisha sheria ili kuthibiti haya mambo mapema zaidi kabla hayajatokea.
Mwisho kwa mawazo yangu, ingebidi tuanze kumulika pesa za michango ya UCHAGUZI. Ikibidi tuweke miiko na mipaka ya upokeaji pesa. Haya mambo ya pesa zinatoka sijui kwa Waarabu, Iran, Japan, Canada, etc ni kujivisha wenyewe kitanzi. Viwavi jeshi kwa tamaa ya kuwa RAIS, wataenda kuchukua/kupokea hela hata za Mafia wa Mexico na Chaccobamba kama siyo Columbia kwenyewe......
Nilikujibu kwenye post no 24, kwa vile michango ilizidi 100 sio rahisi kuikumbuka yote, hivyo nimekuwekea tuu tena hapa for reference.Ni kweli ndio sababu ya kuandika ile makala ya "Wapiganaji CCM wanapigania nini?". Hadi hivi sasa basi sijapewa jibu zaidi ya ukweli huo hapo juu. Maslahi.
Mzee Mwanakijiji, hao makamanda dhidi ya ufisadi wamegawanyika makundi mawili, miongoni mwao wamo wanapinga ufisadi kwa sababu wanauchungu wa dhati na umasikini wa Watanzania ambao ufisadi umechangia kuongezeka kwa umasikini na unaendelea kuitafuna nchi na utaendelea kwa miaka kadhaa ijayo.
Kundi la pili ni la wapinga ufisadi wanaopigania nafsi zao, wanahasira kwa sababu nao wanataka share yao kwenye huo mkate na nafasi zikiwakalia vazuri, nao watafisidi vile vile hivyo nawaweka kundi moja na mafisadi tuu.Kwa mtazamo huo kuna makamanda wenye uchungu na makamanda mafisadi.
Swali ni jee ndani ya CCM, wanapigania nini?. Jibu langu la jumla ni kuwa wanapigania nafsi zao just for survival na wakishapata uhakika wa survival baada ya 2010, mtawashuhudia nao wakifisidi ushahidi ni 'time will tell'.
Kitu kibaya zaidi kuhusu baadhi ya hawa makanda ambacho mtakishuhudia ni kwa baadhi yao kuwapigia magoti mafisadi ili kuwanusuru na panga la CCM kupitishwa kugombea 2010 na wakishapitishwa, wataungana na kuwa kitu kimoja kwa ajili ya kuweka mikakati ya 2015.
Baadhi watakao piga magoti ni wale ambao nguvu ya mafisadi kuhakikisha hawateuliwi na CCM kugombea itatumika, na wakisha toswa na CCM, watatamani kukimbilia upinzani sio ili kuendeleza mapambano, bali kujaribu kuokoa mkate wao wa kila siku na nawahakikishieni, kama mafisadi watamwaga fedha kuhakikisha makamanda hawapiti, na wakihamia upinzani, ndio kwanza sasa chama kitamwaga mapesa zaidi kuhakikisha hakishindwi.
Baadhi ya makamanda watapigwa chini na hapo ndipo itakuwa mwisho wa habari yao, kitakachofuatia ni kwenda kuwalamba miguu mafisadi kwa kurejea CCM wakiwa wametahayari kama alivyofanya yule kinara wa kundi la G-55.
Hizi harakati za kujipambanua kwa pamoja na kuzungukiana majimbo ya wapiganaji zamu kwa zamu huku wakitoa michango ya shilingi 500,000 walizopewa na mshitiri, wakisindikizwa na ka 'kipindi maalum' ndani ya taarifa za habari (no 10min news clip) ya kwenye TV ya mshitiri, hizi ni nyimbo tuu za shangwe na mapambio ya kujinusuru na panga la uteuzi wa CCM mwaka 2010, baada ya hapo kutakuwa hawana hili wala lile.
Sibezi juhudi za makamanda, bali mbinu zilizotumika kuwapambanua bungeni tukianzia kwenye ripoti ya Richmond iliyotumika kumchapa bakora EL kwa kumuhukuma bila kupewa fursa ya kusikilizwa, hivyo ukamanda wao unapimwa ni kwa kiasi gani wanaweza kuzungumza kwa jazba na mapokezi makubwa makubwa kuashiria wananchi wanawakubali.
Wapiganaji wa kweli ni wale ambao wako tayari to take risk kwa kusimama mbali na uvundo kuwathibitishia watanzania kuwa huku tuliko chama kimetekwa na mafisadi, hivyo baada tuu ya kuvunjwa Bunge mwakani, wataonyesha waliposimama na wananchi watawachagua kwenye chama chochote watakacho simama nacho na hawa ndio watakuwa wapiganaji wa kweli kweli.
Wale makamanda wanaopigania nafsi zao, mtawatambua kwa kutokubali kurski nafasi zao ndani ya CCM ambako mafisadi wana upper hand. Hawa watasubiri mpaka watakapo temwa na CCM ndipo waje upande wa pili kujaribu kamari ya upinzani, hawa ndio watakao kwenda na maji kwa sababu upinzani Tanzania ni kwenye baadhi tuu ya maeneo, kuna maeneo mengi CCM inachaguliwa sio kwa sababu imekubalika sana, bali kwa sababu ya mazoea tuu na kukosekana kwa elimu ya uraia.
Kuna sehemu hata akisimamishwa mgombea kiazi vipi, atapita tuu.Kwa vile CCM ina wenyewe, na baadhi ya wenyewe hao ndio hao hao mafisadi na wengine wao ndio hao makamanda, hapa ni mwendo wa mwenye kisu kikali ndie anayekula nyama, na ili ukubaliwe kula nyama ni lazima uchague upande, either with us, or against us, maadamu wenye guvu ni mafisadi, mwenye nguvu mpishe, hao makamanda watajikuta kuliko kuriski loosing, wakijua hawawezi kuwashinda, watatumia formular ya 'if you can't beat them, join them' watajiunga nao na wote wakuwa kwenye tenga moja la samaki, na wote watakuwa ndio hao hao.
Labda nije na swali moja tu kwako na kwenu wengine wote:
Maadamu swala la Rishmonduli linajulikana in and out na linazidi kuburuzwa hadi leo na kila mtu anafahamu kuwa hili swala limeunga kwenye Kitovu ca Muungwana, je tufanyeje? Na unapojibu, kumbuka katiba ya Tz ambayo inaweza kumpa Rais wake hata Udikteta kama akitaka.........
.
And by the way, kumbe aliyemfadhili Kamanda wa wapiganaji, Sitta kuupata Uspika n kumpigania tangu ndani ya CC alikuwa ni RA!
Tuendeleze mapambano na yeyote atakayeungana nasi tutapokea msaada wake maadam lengo ni kuiweka habari hii juu hadi siku wananchi wote wanatakapo jiunga nasi na kumwondoa CCM iwe 2010 au 2015.Maadamu swala la Rishmonduli linajulikana in and out na linazidi kuburuzwa hadi leo na kila mtu anafahamu kuwa hili swala limeunga kwenye Kitovu ca Muungwana, je tufanyeje? Na unapojibu, kumbuka katiba ya Tz ambayo inaweza kumpa Rais wake hata Udikteta kama akitaka.........
Ukweli na hali halisi give me a break mzee!
Naangali JF na michuzi tu. Si mwenyewe unafahamu Sikonge jinsi kulivyochoka? Hayo ma CNN na BBC yenu huku tunayasikia tu na sanasana kuangalia ninikimesemwa kwenye JF na Michuzi.Umetaka jina la raisi ambaye ameishia jela, nina wasi wasi huangalii habari za kimataifa zaidi ya kushinda JF! LOL
Mzee, ukimuweka EL na RA LUPANGO, basi kipato changu cha miezi sita nitachangia chama chako au kampeni za Urais/ubunge wako. Hili nakuhakikishia kabisa ntakuwa mpambe wako namba moja Sikonge kwa gharama zangu mwenyewe.......Aliyekuwa Raisi wa Taiwani Chen Shui-bian alimehukumiwa kifungo cha maisha na kupigwa faini ya $US6.1 million. Kwa makosa ya kugushi, matumizi mabaya ya madaraka, na kula rushwa. Hukumu ilitolewa tarehe 11 Sept 2009.
Sema kingine, EL na RA wanatakiwa wawe lupango!
Link
http://www.wsws.org/articles/2009/sep2009/taiw-s23.shtml
Tusitetee ujinga, eti waachwe tuendeleee acheni hizo ebooo!
Who pays the piper... Matokeo ya maamuzi ya Sitta kuhusu hoja za viporo tumeyaona, nakuhakikishia haya ni ya Musa tuu, ya Firauni tutayashuhudia kikao kijacho na amini usiamini, tutabaki midomo wazi!.- Mkuu hivi ulikuwa hujui kwamba Sitta, originally alikuwa Mtandao? Tunachojali ni anachofanya sasa kwenye uongozi wake na sio yaliyopita maana si ndwele!
Respect.
FMEs!
who cares in the Tanzania government? Loliondo tayari imepewa kwa Generali just like Dowans italipwa. Kwani alivyokuja Zayed mdogo hii summer hapo Bongo mliambiwa alikuja kwa ajili gani? Loliondo ilitosha kabisa kumuondoa madarakani Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete. Kama vile Dowans watu wale wale hawaendi kokote na wanaamini kuwa tukipiga kelele basi tutafukuza wawekezaji!
Kwani hao wapambanaji CCM kuna yeyote amesema lolote kuhusu Loliondo zaidi ya uchunguzi sijui ufanyike kama walivyotuma kamati ya Bunge kwenda huko zaidi ya miaka 18 tangu ufisadi wa Loliondo uanze?
Nilikujibu kwenye post no 24, kwa vile michango ilizidi 100 sio rahisi kuikumbuka yote, hivyo nimekuwekea tuu tena hapa for reference.
And by the way, kumbe aliyemfadhili Kamanda wa wapiganaji, Sitta kuupata Uspika n kumpigania tangu ndani ya CC alikuwa ni RA!
MMKJJ, kwanza baada ya kukubali ufisadi ndio mfumo unaounda utawala wetu wa sasa, yaani ni system, halafu tunataka kugombea kisu huku walioshika mpini ndio hao hao, unategemea nini?
.There is always one and only way ya kuchange system, system kamwe haibadiliki, lazima ibadilishwe, kama system imeundwa na mafisadi na kuendeshwa na mafisadi ili kuzidi kufisidi
, hao wa kuibadilisha ni kina nani kama sio kutaka kuja kuibadilisha ili wapokezane zamu za kufisidi, na unawazuiaje mafisadi wa baadae wakati wengi wa wanasiasa wetu wanaingia kwenye siasa kama ajira kupigania nafsi zao?.
Wanatakiwa wapatikane watu wa Calibre ya Dr. Slaa wengi wa kutosha na sio hao waimba mapambio kwa jina la makamanda.
Hapa inatakiwa kitu kama the 'Bolshevic ya Octoba 1917' ama 'The American ya 1886' vinginevyo ni tunacheza makida makida.
Mkandara,
Si kwamba nakata tamaa. Ila naona tunakuwa WAVIVU kufikiri. Yaani na idadi kubwa namna hii, hadi leo bado tunaongozwa na watu kama 10 tu Tanzania na wametudhibiti hata hatuwezi kukohoa? Mie nina imani tunaweza kufanya mabadiliko na bila kumwaga damu. Mie yangu ni 'tuache kulialia na tuanze kutafuta njia za kujikomboa na Waarabu/Wahindi/Wacanada ambao wametuganda kama kupe.
Kwanza ni kutumia mbinu za CCM juu yao wenyewe:
-Devide and Rule.
-Kupakana matope.
Nina uhakika wana nyingine nyingi ila na sisi tukitumia hizi mbili tu, basi tutafika mbali. Kwenye ile makala ya Loliondo nimependekeza kwa CHADEMA kutengeneza film fupi, wanunue PROJECTOR moja kali sana inayoweza kuonyesha hata mchana na wawe wanapita kwenye vijiji, wanahutubia kidogo (bila kujifagilia) na kuwaambia wananchi kuwa mliambiwa mkichagua wapinzani tutavuruga amani? Haya angalieni wenzenu amani waliyo nayo. Na nyie hapa kwenu siku wakigundua madini/Mafuta (hapo mwaweza kuanza hata kuzusha kuwa wilaya fulani kuna utajiri fulani na wawekezaji kutoka nje wataletwa hapo na wanachi watakiona wanachokiona sasa Wamasai wa Loliondo) basi mtahamishwa kama wenzanu hawa kwenye film. Unamaliza na kuwaonyesha film kama ya nusu saa na mnaondoka kwenda kijiji kingine.
Haya Mkuu, nimeshatoa mapendekezo yangu. Mie
Labda unisaidie nini maana ya wapambe wako?
Kama kuni link mimi na akina Lowassa kunakupatia usingizi zaidi basi kalale vizuri lakini furaha yako hiyo hata siku moja haitageuza facts.
Utabaki tu kuwa sawa na mlevi wa gongo ambaye kesho yake anaamka na kukuta matatizo yake yako pale pale kama livyoyaacha jana kabla ya kulewa.
Mtu ambaye hajamwibia mtu, hata urushe matope kiasi gani, hayawezi kumchafua. Sana sana watu watakushangaa na kukuona ni kichaa.
Usikate tamaa. Kama bado una nia na malengo, ni wakati mwafaka kwako kutembelea HAPA
Hii labda kama tunataka kujenga Banana republic.
Mjadala mzuri sana huu....
FMES nakubaliana na wewe tujenge utawala wa sheria kwa gharama zozote